Kenya ondoeni vijana wenu wa KDF Somalia

maramia

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2015
Posts
2,030
Reaction score
1,345
Wakati wa kampeni za kugombea urais nchini Kenya kiongozi wa kambi ya upinzani bw Raila Amolo Odinga alikuwa akijinadi kwamba akishinda katika uchaguzi ule moja ya mambo ambayo angeyapa kipaumbele ni kuyaondoa majeshi ya KDF nchini Somalia.
Huku Tanzania kuna wakati Rais Kikwete naye alijibaragua baada ya kufanikiwa kumtoa Mohamed Bacar, kiongozi wa mapinduzi haramu ya visiwa vya Anzouan huko Comoro na kutaka eti jeshi letu la JWTZ litoe mafunzo kwa majeshi ya Somalia lakini kelele zilizotoka kwa wananchi zilimtisha na akaamua kuusitisha mara moja mpango ule wa kishetani.
Naamini kuwepo majeshi ya Kenya huko Somalia kuna hasara kubwa kwa maisha ya raia na uchumi wa Kenya kuliko faida kwa Kenya na hata kwa jumuiya ya kimataifa inayoyafadhili majeshi hayo.
Mashambulizi na mauaji yanayofanywa na askari wa Al Shaabab dhidi ya raia na askari wa Kenya walioko Somalia yanatosha kuionya Kenya kwamba hiyo ni vita ambayo hata siku moja hawataishinda.
Suluhu ya yote hayo inafaa Kenya iyarudishe nyumbani majeshi yake kana matakwa ya Raila yalivyokuwa.
 
Umeishawahi sikia waasi wa DRC wamewashambulia na kuwaua kwa wingi wanajeshi na raia wetu kama huko kwenu na Somalia kwenyewe? Ama kushambulia majengo na mali ya watanzania kama huko Kenya?
 
Wayaondoe majeshi yarudi Kenya halafu nchi iindwe na nani?
Kenya ina jeshi la maonyesho tu, sasa ni wkati wa kuonyesha what they can do, siyo kuishi barracks na kupiga kwata za sherehe za uhuru tu.
 
Umeishasikia Al Shaabab ikishambulia na kuwaua kwa wingi wanajeshi na raia wetu kama huko kwenu? Ama kushambulia majengo na mali ya watanzania kama huko Kenya?
labda nikuulize swali jingine, ethiopia, uganda, eritrea, burundi wapo huko, mbona hatusikii kwao kunavamiwa kama kenya? je mashambulizi ya alshaabab nchini kenya yalianza lini? kilichowapeleka KDF somalia ni nini? ukijijibu kwa ufasaha wakati mwingine utajisaili vyema kabla ya kuandika post kama hii
 
Wakati wa kampeni za kugombea urais nchini Kenya kiongozi wa kambi ya upinzani bw Raila Amolo Odinga alikuwa akijinadi kwamba akishinda katika uchaguzi ule moja ya mambo ambayo angeyapa kipaumbele ni kuyaondoa majeshi ya KDF nchini Somalia.
Huku Tanzania kuna wakati Rais Kikwete naye alijibaragua baada ya kufanikiwa kumtoa Mohamed Bacar, kiongozi wa mapinduzi haramu ya visiwa vya Anzouan huko Comoro na kutaka eti jeshi letu la JWTZ litoe mafunzo kwa majeshi ya Somalia lakini kelele zilizotoka kwa wananchi zilimtisha na akaamua kuusitisha mara moja mpango ule wa kishetani.
Naamini kuwepo majeshi ya Kenya huko Somalia kuna hasara kubwa kwa maisha ya raia na uchumi wa Kenya kuliko faida kwa Kenya na hata kwa jumuiya ya kimataifa inayoyafadhili majeshi hayo.
Mashambulizi na mauaji yanayofanywa na askari wa Al Shaabab dhidi ya raia na askari wa Kenya walioko Somalia yanatosha kuionya Kenya kwamba hiyo ni vita ambayo hata siku moja hawataishinda.
Suluhu ya yote hayo inafaa Kenya iyarudishe nyumbani majeshi yake kana matakwa ya Raila yalivyokuwa.
wewe gaidi?
 
Wayaondoe majeshi yarudi Kenya halafu nchi iindwe na nani?
Kenya ina jeshi la maonyesho tu, sasa ni wkati wa kuonyesha what they can do, siyo kuishi barracks na kupiga kwata za sherehe za uhuru tu.
Fuateni ushauri wangu umesikia wameuawa tena askari 60 mpaka KDF wameukimbia mji waliokuwa watamalizwa!
 
Jeshi ka Kenya kazima libadilishe mbinu za kivita ili liweze kuwakabili adui.
Adui anatumia mbinu za guerilla warfare, na si frontal attack formations.
Nayo Kenya inabidi ibadili kabisa mtindo wa kivita , pengine tofauti na walivyo wa train vijana wao.
Kuuwawa askari 60 hiyo si tatizo, suala ni kupigana na kumshinda adui, si kukimbia uwanja wa vita.
Vita ni vita muraa!
 
labda nikuulize swali jingine, ethiopia, uganda, eritrea, burundi wapo huko, mbona hatusikii kwao kunavamiwa kama kenya? je mashambulizi ya alshaabab nchini kenya yalianza lini? kilichowapeleka KDF somalia ni nini? ukijijibu kwa ufasaha wakati mwingine utajisaili vyema kabla ya kuandika post kama hii
Mkuu unafaa kuwa mwalimu wa kiswahili, kiswahili chako ni murua sana
 
Umeishawahi sikia waasi wa DRC wamewashambulia na kuwaua kwa wingi wanajeshi na raia wetu kama huko kwenu na Somalia kwenyewe? Ama kushambulia majengo na mali ya watanzania kama huko Kenya?
Kenya iliingia Somalia baada ya magaidi kuua sana raia na watalii huko kaskazini ya Kenya .
Tukubali tu kua 'HASIDI HANA SABABU' KDF Waqingekua kule magaidi wangebuni sababu zingine tu. Mara Mfumo Kristu , Mara Elimu Haramu nk nk!
 
Nadhani unachosema hakina mantiki. Kwa hali ilivyo Kenya hawana mbadala zaidi ya kuendelea kuwepo Somalia.
 
Wakati wa kampeni za kugombea urais nchini Kenya kiongozi wa kambi ya upinzani bw Raila Amolo Odinga alikuwa akijinadi kwamba akishinda katika uchaguzi ule moja ya mambo ambayo angeyapa kipaumbele ni kuyaondoa majeshi ya KDF nchini Somalia.
Huku Tanzania kuna wakati Rais Kikwete naye alijibaragua baada ya kufanikiwa kumtoa Mohamed Bacar, kiongozi wa mapinduzi haramu ya visiwa vya Anzouan huko Comoro na kutaka eti jeshi letu la JWTZ litoe mafunzo kwa majeshi ya Somalia lakini kelele zilizotoka kwa wananchi zilimtisha na akaamua kuusitisha mara moja mpango ule wa kishetani.
Naamini kuwepo majeshi ya Kenya huko Somalia kuna hasara kubwa kwa maisha ya raia na uchumi wa Kenya kuliko faida kwa Kenya na hata kwa jumuiya ya kimataifa inayoyafadhili majeshi hayo.
Mashambulizi na mauaji yanayofanywa na askari wa Al Shaabab dhidi ya raia na askari wa Kenya walioko Somalia yanatosha kuionya Kenya kwamba hiyo ni vita ambayo hata siku moja hawataishinda.
Suluhu ya yote hayo inafaa Kenya iyarudishe nyumbani majeshi yake kana matakwa ya Raila yalivyokuwa.
I think one of the most chronic failures in sub-saharan africa political undertakings is taking matters of national interest to politicians own personal advantages and this menace is there to stay. For a typical black african politician, capitalizing on poor folks tragedies and miseries has now become a ritual. Raila hana ubavu wa kuamuru majeshi ya kenya kutoka nchini Somalia kwa kuwa hilo ni suala la maslahi ya kitaifa (hata kama ni proxy war) kama ilivyo kwa Obama kutaka kufunga Guantanamo Bay detention facility. I think Mr. Raila is politically worn out these days and time is due for him to stay out of the game and leave youngsters take the lead.
 
Wasn't he the Prime Minister when the KDF was ordered into Somalia? He had the opportunity to remove those forces when he was in power. But maybe I am wrong..
Kenyan PM wants to take Al-Shabaab stronghold in Somalia by August - CNN.com
 
that's why i said politicians like mr. odinga are nothing than demagogues and political opportunists who capitalize on human miseries for their own political gains. by the way i think kenya is much safer now since much of the al-shabaab top lieutenants are killed and others put on aggressive manhunt. putting the terrorist on offensive has made somalia no longer a terrorist safe haven as it used to be. our brave men and women in TPDF have pursued the m23 threat in DRC now it's the KDF's turn to successfully accomplish their part in somali land.
 
Back
Top Bottom