but it's true wengi wenu (ukiwa mmoja wao) muko na kasoro flani kiakili hiviaisee ni kweliii ila wa 254 ndio vinara wa kutuona sisi wa TZ kama mazwazwa iv
Kwa mfano uzi wa KQ kununua ndege watz wamemwaga povu tena kwa ukali yani ni mbaya Kenya kusheherekea maendeleo tena kwa forum yao.
Hahaha! 😀 Boss, unapigia mbuzi gitaa.
ni Kama people don't read...Hahaha! 😀 Boss, unapigia mbuzi gitaa.
Thats a good observation,but tbh forum huwa ni ya kenya but 'some' Tanzanians ndo huleta ujuaji,n if you know kenians hatutakangi ujinga,thats how much we love our beautiful,amazing,ethnic diverse,racially diverse country.na nimeenda kulala[emoji125] [emoji120]We need to decide first.. Either we change the title of the forum to be something else or tubadilishe tabia inaendelea hapa Kenya forum.... Every new post is about who is better than the other or which country is better than the other....I still remember when these forum used to have mature people.i have realized that kuna watu wengi Sana both in Kenya and Tanzania ,wanafuatilia everything inaendelea hapa jamii forum ..am sure many of you are familiar with that.. Whatever you are going to write, remember kuna mtu mwingine anaangalia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya hakuna njaa mzae,its onky a county that kuna njaa na washa sortiwa so atleast sai wako poa hope so and pray
Hahahaha
ni kweli kenya hamna njaa, maana nyangau wengi kama wewe wanadhani kenya ni nairobi, mbaya zaidi mara hii hata nairobi kuna njaaKenya hakuna njaa mzae,its onky a county that kuna njaa na washa sortiwa so atleast sai wako poa hope so and pray
ni kweli kenya hamna njaa, maana nyangau wengi kama wewe wanadhani kenya ni nairobi, mbaya zaidi mara hii hata nairobi kuna njaa