Kenya overtakes South Africa KWA MAUZO YA AVOCADO AFRICA

Kenya overtakes South Africa KWA MAUZO YA AVOCADO AFRICA

Washaanza kusema yametoka Tz wakati haya ya export huwa yanakaguliwa mashambani alafu yanaenda moja kwa moja kuwa sorted kwenye warehouse na pale airport. Ukulima biashara. Niliyaona sana kule Kaunti za Meru na Nyeri.

By the way gicagi kwetu haya maparachichi yanawatoa watu kimasomaso, ndio mziki siku hizi yaani kahawa hawana habari nayo.
 
Kama Tz tungefall kwenye others sawa, ila hapo umeona Tz ina 7% so maparachichi ya Tz yanakubalika. Mna advantage ya ku access soko la kimataifa at a lower cost kuliko Tz, hii ishu inashughulikiwa, soon tutakuja hapa hapa kulijadili
Waliongeza juhudi za kumarket avocado za Kenya. Kwa hivyo haikuja tu hivi hivi.
 
By the way gicagi kwetu haya maparachichi yanawatoa watu kimasomaso, ndio mziki siku hizi yaani kahawa hawana habari nayo.
Niliona Meru kule vijijini. Pesa za avocado zikiingia machangudoa wanaongezeka shopping centre, yale yale ya kahawa. [emoji38] Kwa hivyo nikisema kuna watu wamevuna unajua tu namaanisha akina nani.
 
Hii tabia ya kujisifu Kenya itawatokea puani soon, hayo matunda mnananunua tz afu mnajisifu mkibaniwa kidogo full kulialia

Hakuna tofauti yako na wale watafuna muguka na miraa, ambao siku nzima kuketi na kuwaza utajiri wao ambao hakuna.

Kakuzi is Kenya's biggest avocado exporter. I've interacted with them and they have never bought any avocado from Tanzania. They deal directly with farmers mostly from central kenya, paying them much better prices per kg than the local market.
 
Hii tabia ya kujisifu Kenya itawatokea puani soon, hayo matunda mnananunua tz afu mnajisifu mkibaniwa kidogo full kulialia
Nadhani inabidi tuwasifu wakenya kwa hili.. Kama wanaweza kununua kwetu wakauza ulaya safi sana kwao sie tuendelee kung`aa sharubu tu kama kawaida… nini kinatunyima na sie tusiwe exporters bora kama ni kweli maparachichi yote yatoka kwetu? Hongereni majirani keep it up…
 
Pride is not good always, huu Uzi mmeuleta wenyewe, wait and see the outcomes.
Huu Uzi umewekwa Kenyan News sababu unahusu Kenya ama ulitaka uwekwe pale Ugandan News ama jukuaa la Siasa za Tz?
 
Huu Uzi umewekwa Kenyan News sababu unahusu Kenya ama ulitaka uwekwe pale Ugandan News ama jukuaa la Siasa za Tz?
Wasauz ndio wangefaa watuambie tuna majivuno. Yaani kuna watu hawaamini kwamba kuna wakulima wa kikenya ambao wanavuna kwa jasho lao. Juhudi zinafaa ziongezwe kwa ukulima wa miembe naona kwenye ufugaji wa kuku pia walishaweza. Ukulima umekuwa fashionable sana kwa vijana siku hizi. Kuna zile project za ukulima wa uyoga na samaki pia. This is the direction Kenya should take.
 
Hongereni sana, ingawa mnalima maparachichi ila wafanyabiashara wakenya wanakuja sana kununua maparachichi bongo hili siyo uzushi. Nyie bisheni ila time will tell
Hio sidhani kama ni ukweli. Haya matunda huwa yanakaguliwa yakiwa shambani kuangalia viwango vya kemikali na viwango vya fertiliser ndani yake. Matunda ambayo yatapatikana yakiwa na kemikali au fertiliser nyingi kushinda viwango vilivyowekwa na Europe huwa yanatupwa. Matunda ambayo yamefikisha viwango pekee ndio huwa yanasafirishwa ulaya. Kwa hivyo, ni uongo mtupu wewe na wenzako kusema eti matunda ya Tanzania, ambayo hata hayajapimwa viwango, huwa pia yanasafirishwa ulaya. Matunda ya Tanzania hayajafikisha viwango.
 
Acheni jinga ninyi mnapakazia kuwa ni wabongo kumbe ni ninyi wenyewe na njaa zenu. Ona hapa mnajifanya vichaa wakati ni wazima
 
Hio sidhani kama ni ukweli. Haya matunda huwa yanakaguliwa yakiwa shambani kuangalia viwango vya kemikali na viwango vya fertiliser ndani yake. Matunda ambayo yatapatikana yakiwa na kemikali au fertiliser nyingi kushinda viwango vilivyowekwa na Europe huwa yanatupwa. Matunda ambayo yamefikisha viwango pekee ndio huwa yanasafirishwa ulaya. Kwa hivyo, ni uongo mtupu wewe na wenzako kusema eti matunda ya Tanzania, ambayo hata hayajapimwa viwango, huwa pia yana
Maparachichi ya Tz pia yanatimisha viwango. Si unaona wana 7% kwenye exports? Tulichowazidi nacho ni marketing na support ya mashirika ya serikali kwa hawa wakulima. Hujakosea lakini, haya maparachichi ya export huwa yanakuzwa kwa mkataba wa wakulima na haya makampuni ya kuexport. Yaani maparachichi yao yakishakomaa yanachukuliwa bila ya wao kushughulika wakiyatafutia mbinu ya kuyaexport. Haiwezekani eti yasafirishwe kutoka Tz na pia wakulima wenyewe hawawezi kubali hayo. Yanawaletea hela nyingi sana.
 
Hio sidhani kama ni ukweli. Haya matunda huwa yanakaguliwa yakiwa shambani kuangalia viwango vya kemikali na viwango vya fertiliser ndani yake. Matunda ambayo yatapatikana yakiwa na kemikali au fertiliser nyingi kushinda viwango vilivyowekwa na Europe huwa yanatupwa. Matunda ambayo yamefikisha viwango pekee ndio huwa yanasafirishwa ulaya. Kwa hivyo, ni uongo mtupu wewe na wenzako kusema eti matunda ya Tanzania, ambayo hata hayajapimwa viwango, huwa pia yanasafirishwa ulaya. Matunda ya Tanzania hayajafikisha viwango.
Ukiwa una andika jaribu kushirikisha ubongo.. Mkenya mwenzako amekujibu vizuri
 
Acheni jinga ninyi mnapakazia kuwa ni wabongo kumbe ni ninyi wenyewe na njaa zenu. Ona hapa mnajifanya vichaa wakati ni wazima

Mjinga ni wewe ambaye unatizama 'content' kutoka K24, T.V station ya wale ambao unawaita wajinga.
 
Kenya overtakes South Africa, becomes biggest exporter of avocados in Africa

NAIROBI, 14 August 2018 – Kenya's impressive volumetric growth rate per year and access to new markets have helped the country to overtake South Africa as the number one exporter of avocados from Africa.
The East African country became the largest exporter of avocados in Africa in 2017, exporting a record volume of 51,507 tons to the world according to statistics from the international Trade Center. South Africa, traditionally the lead exporter of the world fruit from the Agriculture-rich continent, relinquished the position and trailed Kenya for the first time ever in history with 43,492 tons.
Kenya’s pool of the biggest importers includes the United Arab Emirates, Saudi Arabia and more recently, the Russian Federation. The UAE tops the list with some 12, 041 tons for the 2017 timeline. Saudi Arabia is the country’s fourth importer with some 4,874 tons worth of imports in 2017. The Russian Federation currently holds the 5th position in trade volumes that have culminated at 4,171 tons in 2017.

avocado_stats_africa.JPG

avocado_selina_wamuci.JPG

TANZANIA WANAFUATA NA 7% JAPOKUWA WANASIFIWA NA UWEPO WA MVUA TELE NA MCHANGA WENYE ROTUBA TELE!!!!! UVIVU LABDA SIJUI@#???!!?

Ha ha ha ha ha ha ha ha mngekua mnalima nyie hapo sawa,avocado za kenya asilimia kubwa zinatoka Tanzania,mnachofanya ni packaging tu na kuziuza nje lkn zote zinatoka mbeya,njombe na kilimanjaro.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha mngekua mnalima nyie hapo sawa,avocado za kenya asilimia kubwa zinatoka Tanzania,mnachofanya ni packaging tu na kuziuza nje lkn zote zinatoka mbeya,njombe na kilimanjaro.
Hata maparachichi ya ya S.Africa na Morroco pia yanatoka Tanzania. Teh teh! [emoji1]
 
Hata maparachichi ya ya S.Africa na Morroco pia yanatoka Tanzania. Teh teh! [emoji1]

Pole saana,
Siwezi kukulaumu wewe,tatizo ni uzembe wetu wenyewe wa TZ,sisi ndio tunatakiwa tujilaumu,ilitakiwa tuuze moja kwa moja ulaya lkn badala yake tunauza kenya ambako wana brand kama yamelimwa kenya!
 
Maparachichi ya Tz pia yanatimisha viwango. Si unaona wana 7% kwenye exports? Tulichowazidi nacho ni marketing na support ya mashirika ya serikali kwa hawa wakulima. Hujakosea lakini, haya maparachichi ya export huwa yanakuzwa kwa mkataba wa wakulima na haya makampuni ya kuexport. Yaani maparachichi yao yakishakomaa yanachukuliwa bila ya wao kushughulika wakiyatafutia mbinu ya kuyaexport. Haiwezekani eti yasafirishwe kutoka Tz na pia wakulima wenyewe hawawezi kubali hayo. Yanawaletea hela nyingi sana.
Ndio maparachichi ya T.Z pia yanatimiza viwango, hapo sawa lakini point yangu kubwa ilikuwa ni eti hayo maparachichi ni ya Kenya wala sio za T.Z. Zinapandwa sana sana huko central Kenya. Na pia naelewa mambo ya contract ndio maana nikasema testing lazima ifanywe at every stage from planting to harvesting to packaging. I still maintain hizi avocado nyingi sio za T.Z. Hizi mostly ni za Kenya. Although Watanzania pia wanaexport avocado zao kivyao lakini si through Kenya. Nadhani wanaexport under their own government or private sector companies. Na hata kama kuna avocado ambazo zinanunuliwa kutoka huko, lazima zinafanyiwa testing kali sana from planting to harvesting juu hivyo ndio contracts nyingi za agricultural export huwa zinasema.
 
Back
Top Bottom