Evidence kwamba hatulimi avocado iko wapi?Ha ha ha ha ha ha ha ha mngekua mnalima nyie hapo sawa,avocado za kenya asilimia kubwa zinatoka Tanzania,mnachofanya ni packaging tu na kuziuza nje lkn zote zinatoka mbeya,njombe na kilimanjaro.
Wewe kubali tu kuwa hujui unachosema. Unadhani kampuni ya Kenya inaweza kuja njombe ikanunua avocado bila kujua kama imefikisha viwango au la, na kuisafirisha hadi Ulaya? Unadhani ulaya ni kwa babu yako, huko huwezi peleka avocado ambayo hayajafikisha viwangoPole saana,
Siwezi kukulaumu wewe,tatizo ni uzembe wetu wenyewe wa TZ,sisi ndio tunatakiwa tujilaumu,ilitakiwa tuuze moja kwa moja ulaya lkn badala yake tunauza kenya ambako wana brand kama yamelimwa kenya!
Tony254, nisaidie hapa, kuna mwingine hapa aliyekaririshwa kwamba Kenya hamna ukulima wowote ule. Jombaa hii biashara ya maparachichi ya export sio kama yale ya soko mjinga eti unakuja na mkokoteni wako alafu unamwaga mali watu wananunua. Kuna Quality Assurance Test karibia kwa kila stage mbegu za kupanda wanapewa na kampuni zenyewe, madawa. Hawa wakulima wapo kule Nyeri, Meru, Tharaka Nithi, Murang'a. Wewe endelea kubisha.Pole saana,
Siwezi kukulaumu wewe,tatizo ni uzembe wetu wenyewe wa TZ,sisi ndio tunatakiwa tujilaumu,ilitakiwa tuuze moja kwa moja ulaya lkn badala yake tunauza kenya ambako wana brand kama yamelimwa kenya!
Sasa kwasababu ni mkenya ndio ukaamua kuja na matusi? Tena bila notisi? Cha ajabu ni nini kwa huyo kichaa? Hata kama ni bandia bado ni kichaa tu. [emoji1]Kwa hiyo huyo kichaa bandia sio mkenya?