Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
[emoji23][emoji23][emoji382]Ha ha ha!!! Yaani....
Hiyo ni mali ya Agakhan,achen ufala wa kusifia ujinga, wenzenu wanakufa kwa njaa huko Marsabit wee unabaki kujirigisha na media houseKenyan company Nation Media Group owns the top two media stations in Tanzania
1. The Citizen
2. Mwanainchi
Through this companies Kenya is able to dictate what Tanzania citizens watch, hear, learn and know. View attachment 2099350
Lia polepole [emoji382][emoji23]Hiyo ni mali ya Agakhan,achen ufala wa kusifia ujinga, wenzenu wanakufa kwa njaa huko Marsabit wee unabaki kujirigisha na media house
shukran sana kwa kulitambua hili. usisite kuwatangazia wenzako anytime unapopata nafasiHapo ndipo Kenya wanatupiga bao. Yani Kenya ni kati ya nchi za Kiafrika ambazo zinajulikana zaidi duniani. Kiswahili utaambiwa ni Kenya, Mlima Kilimanjaro utaambiwa ni Kenya, Masais utaambiwa wako Kenya. Wanajua kujitangaza sana.
Gharama iliotumika kuprint na kubandika hizo picha wangefanya vitu vya maana vyenye return kwa faida ya nchi hii.