Kenya owns Tanzania media

Kenya owns Tanzania media

Mashashola

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2020
Posts
4,345
Reaction score
5,718
Kenyan company Nation Media Group owns the top two media stations in Tanzania
1. The Citizen
2. Mwanainchi
Through this companies Kenya is able to dictate what Tanzania citizens watch, hear, learn and know.
Screenshot_20220119-041621.jpg
 
Wakenya nanyie mzidi uwehu, subirini uchaguzi muhula wenu wa kuchafuana ufike. Mumewafanya watz wajinga mnno. Kila mkionekana kupenda sifa za kibwege tuuu
 
ITV superbrand afrika mashariki hamuifahamu??

Millardayo.com/Millardayo naye hamumfahamu??

Hii JAMIIFORUMS nayo mnayoitumia kila siku na nyie huko mna kikenyatalk hamuifahamu??

Azam MEDIA nayo huko Kenya hamjawahi kuisikia??😎
 
Kenyan company Nation Media Group owns the top two media stations in Tanzania
1. The Citizen
2. Mwanainchi
Through this companies Kenya is able to dictate what Tanzania citizens watch, hear, learn and know. View attachment 2099350
Hiyo ni mali ya Agakhan,achen ufala wa kusifia ujinga, wenzenu wanakufa kwa njaa huko Marsabit wee unabaki kujirigisha na media house
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hiyo ni mali ya Agakhan,achen ufala wa kusifia ujinga, wenzenu wanakufa kwa njaa huko Marsabit wee unabaki kujirigisha na media house
Lia polepole [emoji382][emoji23]
 
Hapo ndipo Kenya wanatupiga bao. Yani Kenya ni kati ya nchi za Kiafrika ambazo zinajulikana zaidi duniani. Kiswahili utaambiwa ni Kenya, Mlima Kilimanjaro utaambiwa ni Kenya, Masais utaambiwa wako Kenya. Wanajua kujitangaza sana.
Gharama iliotumika kuprint na kubandika hizo picha wangefanya vitu vya maana vyenye return kwa faida ya nchi hii.
shukran sana kwa kulitambua hili. usisite kuwatangazia wenzako anytime unapopata nafasi
 
Back
Top Bottom