kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Tanzania kuna Fursa kuliko uko nje sio kama Kenya kwahiyo hamna haja ya kua mkimbizi wa kiuchumi hiyo $1000 ya kuendea Dubai hapa Tanzania unaweza kuendesha biashara nzuri na ukamiliki na gari pamoja na nyumba, Tanzania haina njaa kama Kenya.There seems to be a huge shortage of people with disposable income in Tanzania.
Vast majority of Tanzanians have never left their country, cannot afford to and don't even own a passport.
Ata $1000 ya kutembea Dubai hamna jameni.
Sad situation. Mjikakamue kidogo.
View attachment 2508437View attachment 2508438View attachment 2508439
The richest countries produce the highest number of international tourists.Tanzania kuna Fursa kuliko uko nje sio kama Kenya kwahiyo hamna haja ya kua mkimbizi wa kiuchumi hiyo $1000 ya kuendea Dubai hapa Tanzania unaweza kuendesha biashara nzuri na ukamiliki na gari pamoja na nyumba, Tanzania haina njaa kama Kenya.
Kwetu pazuri.
Wanaoishi nchi nzuri wanapenda sana kutalii.Kwetu pazuri.
Every Kenyan would wish to leave Kenya including your president, Kenya ni nchi ya dhiki, taabu na mateso. Nani anapenda kufa kwa njaa, crime and police brutality?There seems to be a huge shortage of people with disposable income in Tanzania.
Vast majority of Tanzanians have never left their country, cannot afford to and don't even own a passport.
Ata $1000 ya kutembea Dubai hamna jameni.
Sad situation. Mjikakamue kidogo.
View attachment 2508437View attachment 2508438View attachment 2508439
Kwani Kenya iko miongoni mwa nchi tajiriThe richest countries produce the highest number of international tourists.
Nchi maskini hela za kutembea nje hakuna.
Sisi hatuongozi kukimbia nchi life is affordable and bearable in Tz.There seems to be a huge shortage of people with disposable income in Tanzania.
Vast majority of Tanzanians have never left their country, cannot afford to and don't even own a passport.
Ata $1000 ya kutembea Dubai hamna jameni.
Sad situation. Mjikakamue kidogo.
View attachment 2508437View attachment 2508438View attachment 2508439
Kwani nyie nchi maskini mkikimbilia huko nje mnaenda kutalii ama mnaenda utumwani. Yaani unalipa dollar 1000 ukatumikishwe kisa uishi maisha ambayo huyapati hapo Kenya so sad.The richest countries produce the highest number of international tourists.
Nchi maskini hela za kutembea nje hakuna.
Riggy G muda sio mrefu atakimbia Kenya amechoshwa na fedhea ya kutembeza bakuli kombaomba.Every Kenyan would wish to leave Kenya including your president, Kenya ni nchi ya dhiki, taabu na mateso. Nani anapenda kufa kwa njaa, crime and police brutality?
LDC endeleeni kujifurahisha.Every Kenyan would wish to leave Kenya including your president, Kenya ni nchi ya dhiki, taabu na mateso. Nani anapenda kufa kwa njaa, crime and police brutality?
Ni tajiri kuliko Tanzania.Kwani Kenya iko miongoni mwa nchi tajiri
Katika hao 3.5 mil, 3 mil ni watumwa arabuni. Kwani mnafikiri hatujui!?Kwetu pazuri.
Wewe uko miongoni ya walio na passport? π π π πHawa nyangβau ni washamba sana.
Ati tourists![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakati passport yenyewe weak tu!The richest countries produce the highest number of international tourists.
Nchi maskini hela za kutembea nje hakuna.
Kwani nyie nchi maskini mkikimbilia huko nje mnaenda kutalii ama mnaenda utumwani. Yaani unalipa dollar 1000 ukatumikishwe kisa uishi maisha ambayo huyapati hapo Kenya so sad.
Sisi huku tunapenda kwetu maana hii nchi ya Tz haijawahi kutuangusha kimaisha.