Kwa Tz kuna factors nyingi za why watu hawana passport, wacha mi niiseme hii ya kua na poor mentality kwa Authority ambapo ukienda immigration unaulizwa paasport unataka ya nini kwani unaenda wapi?
Imagine thats the first question customer anaulizwa, maana yake ni kua authority zimekariri kua you only need that thing kama unasafari wakati ni haki ya kila raia owning this stuff.
Lastly, mostly Tanzanian wanaamini passport ni kitu exceptional sana ambacho kinaweza milikiwa na class flani.
All those plus bureaucracy kuipata and purchasing power ndio vina fanya trend ya owners wa passport iwe hivyo in Tz.