Ni kweli hata ukiwa na chini ya hiyo hela tz unaishi fresh.Tanzania kuna Fursa kuliko uko nje sio kama Kenya kwahiyo hamna haja ya kua mkimbizi wa kiuchumi hiyo $1000 ya kuendea Dubai hapa Tanzania unaweza kuendesha biashara nzuri na ukamiliki na gari pamoja na nyumba, Tanzania haina njaa kama Kenya.
Hii ni sababu tosha ya kuwafanya wakenya wengi kukimbia nchi yao
Hawa wabongo wapuuzi ni kuwapa tu facts, they are never exposed
Passport yetu lazima idhibitiwe na mamlaka husika hutoi tu Passport hivihivi kama huna sababu ya msingi inayokufanya usafiri.
Kwenda kuwa house girl middle east mnaona sifa machoko wakubwa nyieThe richest countries produce the highest number of international tourists.
Nchi maskini hela za kutembea nje hakuna.
Uliwahiona rain south africa au Botswana wakienda nje kutafuta maisha,Kenya Kuna njaa kaliKenya kupata passport ni haki kama ilivo kupata kitambulisho Cha uraia. Tanzania kupata passport mchakato wake mgumu na lazima uwe na safari....ndio maana wenzetu wametapaka duniani nzima kutafuta fursa na ajira
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo Elimu Bora ni Ile inayokufikisha Uarabuni kufanya kazi za ndani, kuteswa na kuuwawa kinyama na waarabu?Ndio hivyo.. Sisi twende wapi na Elimu yetu wengi ya ujamaa.. si ni hapa hapa nchini ujamaa tu au?
Kenya wana elimu gani ya maana katika africaNdio hivyo.. Sisi twende wapi na Elimu yetu wengi ya ujamaa.. si ni hapa hapa nchini ujamaa tu au?
Kwani Kenya mnaproduce tourist au mabeki tatu na wakimbizi wa kiuchumi huko Dubai?The richest countries produce the highest number of international tourists.
Nchi maskini hela za kutembea nje hakuna.
Your gross bomboclaat nyinyi Kenya mko na purchasing power gani,mnashindia kula omenaa na sukuma weekKwa Tz kuna factors nyingi za why watu hawana passport, wacha mi niiseme hii ya kua na poor mentality kwa Authority ambapo ukienda immigration unaulizwa paasport unataka ya nini kwani unaenda wapi?
Imagine thats the first question customer anaulizwa, maana yake ni kua authority zimekariri kua you only need that thing kama unasafari wakati ni haki ya kila raia owning this stuff.
Lastly, mostly Tanzanian wanaamini passport ni kitu exceptional sana ambacho kinaweza milikiwa na class flani.
All those plus bureaucracy kuipata and purchasing power ndio vina fanya trend ya owners wa passport iwe hivyo in Tz.
Pia mapopo walikuwa wanakuja kununua passport yetu then wanaenda kuuza ngada ughaibuniPassport yetu lazima idhibitiwe na mamlaka husika hutoi tu Passport hivihivi kama huna sababu ya msingi inayokufanya usafiri.
Mfano mzuri tunaona majirani zetu wanavyotumkishwa na kufanyiwa ukatili huko uarabuni na serikali yao imekaa kimya tuu badala ya kulinda raia wake.
Sisi huku Tz mamlaka zetu hazitaki hali hiyo itokee kwa mtanzania yoyote yule na ndio maana hasa wanawake wakiwa na safari za uarabuni maswali yanakuwa mengi sana aidha uwe na consent ya mme ama mzazi.
So whatUngekuwa makini shuleni, leo hii ungekuwa miongoni ya 1.1 million ambao wameshika passport na mikono zao.
Lakini sasa kazi yako ni kupanguzia viatu na kufungulia gate walio na passport. 😂😂
Enda huko uarabuni. Labda utafunguka akili.
View attachment 2508633