Kenya pays $46m more loan interest than target

Wema Sepetu: Why I’m keeping my uterus
Hili ni gazeri la nchi gani?, kila taarifa moja ya Kenya inayoandikwa na magazeti ya Tanzania, Kuna habari tano za Tanzania ktk magazeti ya Kenya, nani anayemfuatilia mwengine zaidi?

Tukirudi kwenye mambo ya Uchumi, thamani ya miradi ya miradi yote inayofanyika Tanzania, yaani yote ya Serikali na private sector ni sawa, au kuzidi kidogo ya nchi tatu, KE +UG +RW, nipo tayari kulithibitisha hili baada ya wewe kuhorodhesha miradi yote ya Kenya na thamani yake, ukiwa na ushahidi.
 
Usitake kujiabisha tena kama vile ulivyofanya na ile story ya manufaturing, Hapa unaongea na nchi ambayo ni second biggest source of FDI from Africa to African countries, Tanzania private sector is no match to Kenya's, Kenya's dominance in East africa is 85% because of its strong private secotor and not government... Tumeongoza kwa projects kushinda hata Ethiopia for the last 4 consecutive years!!!! alafu unataka kucheza mchezo wa baba na mama wakati nyinyi bado watoto... hehe eti thamani ya project zenu zimezidi KE+UG+RWwakati bajeti yaKenya ni sawa na bajetiza TZ+UG+RW+BR combined



hakuna haja ya ku list chochotewhen this is the case


Africa’s Powerhouse

Within the EAC, the Kenyan economy is the anchor.
The overall performance of the region will to a great extent depend on what happens in Kenya. Kenya’s economy is the largest in the region and is much more dynamic than those of other member countries. The country’s economy is much better linked to the other economies in terms of investment flows and trade. Thanks to its more advanced human capital base, its more diversified economy, and its role as a leader in the information communication revolution in the region, Kenya’s economy is expected to remain strong, creating salutary benefits to the other member countries
 
Blaaah..blaah..blaaah.. kama kawaida yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilijua huwezi kukubali kuleta ushahidi kwa sababu utadhalilika lazima, hata hivyo sikuachi kwa sababu ninajua unataka kukimbia, ninaanza na
1)Foreign Direct Investment, Tanzania $2B, Kenya $6M[emoji23]
2)BRT second phase $300m
3)Upanuzi wa Dar port $150m
4)Bagamoyo port $10B
5)Ubungo interchange $90m
6)Liganga&Mchuchuma project $1.5B
7)SGR $3.1B....Total $12B
8)Liquefied Natural Gas plant $30B
9)Julius Nyerere International Airport $360M
TOTAL $50B
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama kweli wewe ni kidume kweli lete miradi yenu ambayo imeshapata pesa, usilete ambayo bado ni ndoto lakini hakuna pesa, kama ile pipe line yenu ambayo kamwe haitopata pesa, au LAPSET haina pesa.
 

But do I really need to waste time doing that, Project kama bagamoyo, na haswa hiyoya LPG zitachukua miaka mingi sana kabla zifanywe, hebu mwanzo nionyeshe wapi contract ya $30B ilipigwa saini na pesa kutolewa?????, By that time $29B Lamu port itakua ilikamilika kitambo kama sahii kuna barabara tatu za lapsset totaling $1.5B zishajengwa au zimeanzwa kujengwa..

Project hazihesabiwi eti 'pesa zikitoka' project zinahesabiwa ujenzi ukianza --- Case in point, Toyota ilikua imeshapropose kulipia pipeline ya Juba-Lamu Toyota Tsusho puts a $5b bid for Lamu-Juba oil pipeline

Mwaka unaisha huu, Tutajua kweli nani ako na project nyingi kwasababu for the last 4 consecutive years Kenya imekua ikongoza kwa infrastructure projects

2013 ----- Kenya leads regional peers in infrastructure projects

2015
Kenya maintains lead in regional infrastructure projects


2016
Kenya leads East Africa with mega infrastructure projects
Kenya had the highest number of mega infrastructure projects in East Africa in 2016, Deloitte has said, noting it helped the country to maintain its lead as the regional powerhouse.
There were 11 ongoing projects valued at $7.01 billion (Sh727.98 billion) in the country last year, the consultancy firm said in the 2016 Africa Construction Trends Report.
The top projects comprised both public and private investments such as the standard gauge railway, the Lamu port berths and the Lake Turkana Wind Power Project.
“Lake Turkana Wind Power Project is the single largest private sector investment in Kenya’s history. Once completed, it will provide 310 megawatts of power to the grid, approximately 18 per cent of Kenya’s installed capacity,” the firm stated.
Kenya was followed by Ethiopia and Uganda, each with nine projects, and Tanzania with eight.
In total, East Africa had 43 projects valued at $27.4 billion (Sh2.84 trillion) spread across Burundi, Comoros, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Seychelles, Somalia, Tanzania and Uganda.
These translated into 15 per cent of the 286 development projects – valued at $50 million (Sh5.91 billion) and above – that had broken ground across Africa by June 1 last year.
The report says the transport sector accounted for the largest share of projects in East Africa last year, with 15 road and bridge projects.
Energy and power projects were many, making up just over a quarter of all projects, estimated at more than $10.7 billion (Sh1.11 trillion).
“Energy supply and access is an integral part of the East African Community’s development strategy. The EAC has implemented a regional strategy to scale-up access to modern energy services,” the report stated.
It indicates governments own about 86 per cent of the projects, while only 2.3 per cent belong to private domestic companies. The remainder is owned by German and British companies.
Funding largely came from African development finance institutions and China, which together financed nearly half of all mega projects.
“International DFIs are the next most prominent funders, with 18.6 per cent, followed by other funders (14 per cent) and governments (11.6 per cent),” adds the report.
Chinese companies further stood out as the most visible contractors in East Africa, building 41.9 per cent of all projects, the report states.
Other contractors include private domestic companies, which took part in 25.6 per cent of the projects and companies from Italy, Lebanon, the Netherlands, Portugal, Switzerland, the UAE and the US.



--------
Kwahivyo kama unadai Tanzania iko na project nyingi kutushinda, Tungoje data ya 2017 tuone badala ya kuzungushana eti kila mtu a list project zao! mi sina database ya project zote za Kenya, hiyo ni kazi ya watu kama akina anneall (na pia wewe umeingia gora hilo) la ku compare kila kitu hadi tovuti za serekali
 
Nimekuelewa vizuri sana, kwamba huna data za project zote kama Geza au mimi, sasa kwasababu sisi ndiyo tulio na hizo data inabidi utusikilize na kutuamini kwamba, project za Tanzania nikimaanisha zile za serikali na private, thamani yake ni zaidi ya project zote za KE, Ug na Rwanda, sina data za South Sudan na Burundi.
Jambo lingine unapaswa kujua kwamba, wingi wa projects haumaanishi ukubwa wa kiwango cha pesa, kwa mfano, mradi mmoja tu LNG ni sawa na 70% ya miradi yote ya Tanzania ambayo ni zaidi ya miradi 15.

Ueuliza kuhusu mikataba ya kuonyesha kama kuna pesa ya huo mradi wa LNG, huu ni private inverstement ambapo serikali haihusuki na chochote kuhusu pesa, zaidi ni kutiliana mkataba wa kuruhusu mradi uendelee baada ya muwekezaji kukamilisha masharti yote ya uwekezaji, sio kama vile serikali imekopa pesa, inabidi kuwepo na kuwekeana saini mikataba ya kukabidhiana hiyo pesa, mfano ni Bomba la mafuta ya Uganda, zaidi ya mikataba ya ujenzi, hakuna mkataba wowote wa Total oil na serikali ya Tanzania kuonysha kwamba Total wana pesa.

Kuhusu Lamu port, jumla ya mradi wote ukikamilika unatarajiwa kugharimu $5B, sio $12B kama ulivyoonyesha, na hadi sasa hakuna Bank wala company yoyote iliyokubali kutoa pesa katika mradi huo, GoK imetangulia kutoa $800m kwa ajili ya hiyo berth ya kwanza, bado inaendelea kutafuta pesa zingine
 
Ei kwasababu sina data za project zote za Kenya mimi kama mtu binafsi basi ndo imedhihirisha kwamba thamani ya project za Tz ni kubwa kuliko ukichanganya nchi zote za EAC. Mbona waTz mnapenda kujiweka kwa position kama hii ambayo baadaye itawafanya muumwe na roho bure baada ya kugundua ilikua sivyo mlivyotarajia...

Anyway, Kuhusu Lamu port
kuna yule mwanamziki wenu alieimba ile nyimbo ya ''Ombea adui yako aishi siku nyingi......"

Lamu port si Lamu port kama:
1) hakuna barabara,
2)Hkuna umeme wa kutosha
3) Hakuna miundombinu mingine -supporting infrastructure

Ndio maana Lamu port project inaitwa Lapsset kwasababu si bandari pekee bali ni ujenzi wa bandari pamoja na kila kitu kitakacho husisha usafirishaji wa mizigo kutoka hii bandari----- hio project yote ndo inatarajiwa kugarimu $29B thamani ya sasa.
Shida ya Ujenzi wa lapsset kuchelewa haikuwa eti project yenyewe haiko economicaly viable, ukiangalia hapo kwa hio table utaona EIRR haswa ya bandari lenyewe iko juu sana, shida ya Lapsset kucheewa uwekezaji ni kwasababu kulikua na too many unknown varables mpaka kila mwekezaji alikua muoga kuwa wa kwanza(including ujenzi wa ile pipeline iliyonda Tanga), kwasababu ilikua tuna muahidi mwekzaji atupatie mabilioni kujena ilhali ilikua hakuna barabara,usalama haujulikani,andari lenyewe halijajengwa hakuna hata infrastructure yoyote pale lamu, hii ndo maana serekali ya Kenya ikaamua ianze ujezi na pesa zake yenyewe ili konyesha hawa wawekezai kwamba hii haikua scheme ya kuwadanganya watupe pesa zao bali tuko serious, ujenzi huo wa berth tatu za kwanzaukikamilika utaona wawekezaji wakitoa pesa mbio mbio.





Alafu kama unakumbuka wakati ule rais wa SA - Zuma alipokuja Kenya kw ziara rasmi, waz walikua wanatucheka eti kenya aikubaliwa visa free wakati Tz in enjoy hivyo na SA ndani ya SADC. wakati huo SA walikua wakuja na delegation ya makampui kadhaa na benki kadhaa na kulisainiwa mikataba kadhaa ikiwemo ackage ya lapsset.


--------------------------------------------
SA-led consortium plans to invest Sh193bn in Lapsset
SUNDAY, OCTOBER 16, 2016 18:01
A consortium of international investors led by the Development Bank of South Africa (DBSA) is ready to invest Sh193 billion ($1.9 billion) in the Lamu Port South Sudan Ethiopia transport corridor (Lapsset) project, State House has said.

In what could lift the fortunes of the mega infrastructure project whose progress has been slowed down by insufficient funding, the investors are interested in putting up three berths at the Lamu Port and financing the construction of the 537-kilometre Lamu-Garissa-Isiolo road.

State House spokesman Manoah Esipisu said Sunday that Kenya and South Africa signed an MoU on the Sh2.5 trillion project during the visit by President Jacob Zuma last week.

DBSA is wholly owned by the South African government, and has arranged funding for projects in transport, energy, water and ICT sectors.

“The Development Bank of Southern Africa is the main arranger for a consortium that wants to invest Sh122 billion ($1.2 billion) in three additional berths at Lamu Port. The same consortium would look to fund construction of the Lamu-Garissa-Isiolo road under the annuity programme at a cost of Sh71 billion ($700 million),” said Mr Esipisu in the weekly briefing held at Kisumu State Lodge.

The Lamu corridor project, which was commissioned by former President Mwai Kibaki in 2012, is expected to open up Kenya’s northern frontier for more trade and investment, and has been identified as the long term conduit for Kenya’s oil exports through a crude pipeline linking Lamu to the oilfields in Turkana County.

The Lamu Port at Manda Bay consists of 32 deep sea berths, with the first three already under construction with a target completion date of 2018.
So far, construction of the Lapsset headquarters, which cost Sh866 million, and a police station are complete, with Kenya keen to complete construction of the headquarters and the first three berths before opening up the project to private investors.

While the government has managed to raise international financing for other mega projects such as the standard gauge railway, the Lapsset project has not been as fortunate, especially after Uganda opted out of the joint pipeline deal and South Sudan fell back into strife.

The interest of the South Africa led investors is however likely to give the project a boost, coming just a few months after a group of rich countries and high net worth investors under the umbrella of the Organisation for Economic Cooperation and Development (OECD) identified the project as one of 16 in Africa that they would consider financing through a $20 billion fund.
SA-led consortium plans to invest Sh193bn in Lapsset


Wiki iliopita bank hiyo ya SA ilitia mkataba wa pesa za ujenzi wa hio barabara




Ukichanganya na zile berthtatu zinazojengwa sahii itakua zimefika berths sita uichanganya na hizo ambazo zitajengwa na pesa za benki ya SA kupitia PPP.

Kuna kampuni za India nazo zimedai zinataka zipatiwe package yao ya project ambazo wanataka kufanya ndani ya Lapsset.





Muamerika naye anaotea projects kadhaa ndani la lapsset ikiwemo ujenzi wa berth sita pamoja na reli ya 700km alafu ya LPG power plant zote zikiw takrim $9.5Billion, anacho ngojea ni sisi tumalize ujenzi wa berths pamoja na barabara..

Sh1.2 trillion($12Billion) deal struck but not all are winners after US President visit
Fresh details of agreements worth up to Sh 1.2 trillion struck between the American government and Kenya during President Barack Obama’s historic visit can now be revealed.

This came as various groups, institutions and individuals took stock of the visit one week later.

Documents show that National Treasury Cabinet Secretary Henry Rotich and US Secretary of Commerce Penny Pritzker signed a memorandum on a series of mega deals that have created a new economic development partnership that will see investments in the Lamu port, an oil pipeline, power plants, urban commuter rail and highways, and various projects in the health and tourism sectors.

The massive agreements are expected to deepen Kenya-American ties at a time when the Chinese are flexing their financial and diplomatic muscles.

The commercial arrangements signed between the US and Kenya governments include an investment of $9.5 billion (Sh900 billion) in the Lamu Port South Sudan and Ethiopia Transport Corridor (Lapsset) and an additional $7.55 billion (Sh755 billion) in the projected value of exports to flow through the same corridor.

PASSENGER TRAINS

The MoU will also see American company General Electric (GE) deliver 20 passenger trains to Kenya Railways (KR) to the tune of US$ 72 million (Sh7.2 billion). The passenger trains are expected to ease traffic congestion in Nairobi......
Read More: Winners and losers as Obama visit bags Sh1 trillion





--------
Ndio maana huwa nacheka tu nikiwaona mnajidanganya wenywe kwa wenyewe eti sijui kenya hoo, kenya haa, tulieni, na muwe wapole na wakarimu kama vie watanzania wenzenu wa zamani, si eti mkiwa na projects huko kwenu mnakurupukwa eti mtachukua uskani kana kwamba huku wetu hatuna projects
 
Achana na maneno mengi, nimekuambia ulete idadi ya miradi na gharama zake zote kwa pamoja, na mimi nikupe ya kwetu na gharama zake zote, tuone ni nchi gani yenye miradi ya thamani kubwa, kama huna hizo data huna haki ya kukataa kile ninachokuambia mimi ninayekupa data, data hupingwa kwa data sio maneno matupu

Haya makorokoro yako yote uliyoyaweka hapa, jaribu kuyachuja uchukue data uzijumlishe zote kwa pamoja kisha tuone ni nchi gani ipo juu, hadi utakapoleta jumla ya thamani ya miradi yote ya Kenya kama nilivyofanya, itaendelea kubakia ukweli wa kwamba, TZ=KE+UG+RW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…