Ei kwasababu sina data za project zote za Kenya mimi kama mtu binafsi basi ndo imedhihirisha kwamba thamani ya project za Tz ni kubwa kuliko ukichanganya nchi zote za EAC. Mbona waTz mnapenda kujiweka kwa position kama hii ambayo baadaye itawafanya muumwe na roho bure baada ya kugundua ilikua sivyo mlivyotarajia...
Anyway, Kuhusu Lamu port
kuna yule mwanamziki wenu alieimba ile nyimbo ya ''Ombea adui yako aishi siku nyingi......"
Lamu port si Lamu port kama:
1) hakuna barabara,
2)Hkuna umeme wa kutosha
3) Hakuna miundombinu mingine -supporting infrastructure
Ndio maana Lamu port project inaitwa Lapsset kwasababu si bandari pekee bali ni ujenzi wa bandari pamoja na kila kitu kitakacho husisha usafirishaji wa mizigo kutoka hii bandari----- hio project yote ndo inatarajiwa kugarimu $29B thamani ya sasa.
Shida ya Ujenzi wa lapsset kuchelewa haikuwa eti project yenyewe haiko economicaly viable, ukiangalia hapo kwa hio table utaona EIRR haswa ya bandari lenyewe iko juu sana, shida ya Lapsset kucheewa uwekezaji ni kwasababu kulikua na too many unknown varables mpaka kila mwekezaji alikua muoga kuwa wa kwanza(including ujenzi wa ile pipeline iliyonda Tanga), kwasababu ilikua tuna muahidi mwekzaji atupatie mabilioni kujena ilhali ilikua hakuna barabara,usalama haujulikani,andari lenyewe halijajengwa hakuna hata infrastructure yoyote pale lamu, hii ndo maana serekali ya Kenya ikaamua ianze ujezi na pesa zake yenyewe ili konyesha hawa wawekezai kwamba hii haikua scheme ya kuwadanganya watupe pesa zao bali tuko serious, ujenzi huo wa berth tatu za kwanzaukikamilika utaona wawekezaji wakitoa pesa mbio mbio.
View attachment 647687
Alafu kama unakumbuka wakati ule rais wa SA - Zuma alipokuja Kenya kw ziara rasmi, waz walikua wanatucheka eti kenya aikubaliwa visa free wakati Tz in enjoy hivyo na SA ndani ya SADC. wakati huo SA walikua wakuja na delegation ya makampui kadhaa na benki kadhaa na kulisainiwa mikataba kadhaa ikiwemo ackage ya lapsset.
--------------------------------------------
SA-led consortium plans to invest Sh193bn in Lapsset
SUNDAY, OCTOBER 16, 2016 18:01
A consortium of international investors led by the Development Bank of South Africa (DBSA) is ready to invest Sh193 billion ($1.9 billion) in the Lamu Port South Sudan Ethiopia transport corridor (Lapsset) project, State House has said.
In what could lift the fortunes of the mega infrastructure project whose progress has been slowed down by insufficient funding,
the investors are interested in putting up three berths at the Lamu Port and financing the construction of the 537-kilometre Lamu-Garissa-Isiolo road.
State House spokesman Manoah Esipisu said Sunday that Kenya and South Africa signed an MoU on the Sh2.5 trillion project during the visit by President Jacob Zuma last week.
DBSA is wholly owned by the South African government, and has arranged funding for projects in transport, energy, water and ICT sectors.
“The Development Bank of Southern Africa is the main arranger for a consortium that wants to invest Sh122 billion ($1.2 billion) in three additional berths at Lamu Port. The same consortium would look to fund construction of the Lamu-Garissa-Isiolo road under the annuity programme at a cost of Sh71 billion ($700 million),” said Mr Esipisu in the weekly briefing held at Kisumu State Lodge.
The Lamu corridor project, which was commissioned by former President Mwai Kibaki in 2012, is expected to open up Kenya’s northern frontier for more trade and investment, and has been identified as the long term conduit for Kenya’s oil exports through a crude pipeline linking Lamu to the oilfields in Turkana County.
The Lamu Port at Manda Bay consists of 32 deep sea berths, with the first three already under construction with a target completion date of 2018.
So far, construction of the Lapsset headquarters, which cost Sh866 million, and a police station are complete, with Kenya keen to complete construction of the headquarters and the first three berths before opening up the project to private investors.
While the government has managed to raise international financing for other mega projects such as the standard gauge railway, the Lapsset project has not been as fortunate, especially after Uganda opted out of the joint pipeline deal and South Sudan fell back into strife.
The interest of the South Africa led investors is however likely to give the project a boost, coming just a few months after a group of rich countries and high net worth investors under the umbrella of the Organisation for Economic Cooperation and Development (OECD) identified the project as one of 16 in Africa that they would consider financing through a $20 billion fund.
SA-led consortium plans to invest Sh193bn in Lapsset
Wiki iliopita bank hiyo ya SA ilitia mkataba wa pesa za ujenzi wa hio barabara
Ukichanganya na zile berthtatu zinazojengwa sahii itakua zimefika berths sita uichanganya na hizo ambazo zitajengwa na pesa za benki ya SA kupitia PPP.
Kuna kampuni za India nazo zimedai zinataka zipatiwe package yao ya project ambazo wanataka kufanya ndani ya Lapsset.
Muamerika naye anaotea projects kadhaa ndani la lapsset ikiwemo ujenzi wa berth sita pamoja na reli ya 7000km alafu ya LPG power plant zote zikiw takrim $9.5Billion, anacho ngojea ni sisi tumalize ujenzi wa berths pamoja na barabara..
Sh1.2 trillion($12Billion) deal struck but not all are winners after US President visit
Fresh details of agreements worth up to Sh 1.2 trillion struck between the American government and Kenya during President Barack Obama’s historic visit can now be revealed.
This came as various groups, institutions and individuals took stock of the visit one week later.
Documents show that National Treasury Cabinet Secretary Henry Rotich and US Secretary of Commerce Penny Pritzker signed a memorandum on a series of mega deals that have created a new economic development partnership that will see investments in the Lamu port, an oil pipeline, power plants, urban commuter rail and highways, and various projects in the health and tourism sectors.
The massive agreements are expected to deepen Kenya-American ties at a time when the Chinese are flexing their financial and diplomatic muscles.
The commercial arrangements signed between the US and Kenya governments include an investment of $9.5 billion (Sh900 billion) in the Lamu Port South Sudan and Ethiopia Transport Corridor (Lapsset) and an additional $7.55 billion (Sh755 billion) in the projected value of exports to flow through the same corridor.
PASSENGER TRAINS
The MoU will also see American company General Electric (GE) deliver 20 passenger trains to Kenya Railways (KR) to the tune of US$ 72 million (Sh7.2 billion). The passenger trains are expected to ease traffic congestion in Nairobi......
Read More:
Winners and losers as Obama visit bags Sh1 trillion
--------
Ndio maana huwa nacheka tu nikiwaona mnajidanganya wenywe kwa wenyewe eti sijui kenya hoo, kenya haa, tulieni, na muwe wapole na wakarimu kama vie watanzania wenzenu wa zamani, si eti mkiwa na projects huko kwenu mnakurupukwa eti mtachukua uskani kana kwamba huku wetu hatuna projects