umeruka kwa ubernisation sasa, 70% of Dar is slum, your so called rapid urbanization is a ticking time bomb,
Kilimo ni biashara kama nyeengine tu, infact sikuhizi kuna msemo wa kuvutia vijana kenya unaoenda "farming is cool",
huku Kenya kuna capaign za kuregesha watu mashambani waende wakalime na kujitegemea, Wakijazana mijini bila mpango wataishia kuishi Kibera, wakati mashamba yako mengi huko ndani ndani, Alafu ukichanganya na devolution, sikuhizi you don't need to go to the city, the city will come to you,
ingia hapa uangalie mfano mmoja
List of shopping malls in Kenya - Wikipedia
Alafu hata hapo kwa kilimo, hamtuwezi ikija kwa mapato, Agriculture directly contributes 29% to the GDP of Tanzania, Thats 0.29*$50Billion = $14.5Billion
Agriculture in Kenya contributes 25% to GDP directly, Thats 0.25 * $70B = $17.5 Billion