MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
video nitaitazama kesho asubuhi,kwa sasa nipo zangu masaki-dar es salaam nakula bata ktk pre wedding party ya best yangu.full raha.pombe,mziki na misosi kwa sana.hatuna hofu ya mobomu ya alshabab.hahaha.
Safi, mkaribishe huyo jamaa katika utumwa wa ndoa kwa niaba yangu. Natumai mke wangu hana account ya JF....lol