Angeishia kuiba mikate na maji,Hio video inaweza kuwa youtube? Maana ningependa kuisearch. Amenishangaza sana. Huyo ni hatari. Angepelekwa westgate peke yake angeangusha hao magaidi akiwa peke yake maana reaction time yake ni faster kushinda ya adui, na pia yupo accurate.