Kenya Police Special Forces waangamiza gaidi huko Mandera

Kenya Police Special Forces waangamiza gaidi huko Mandera

SOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border.

Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh.

Njooni tuwape mafunzo,waliopigana vita vya Kagera wamestaafu.

View attachment 1684886
KAPEDO vp..
 
Hiyo nchi wasomali Wana nguvu sana Ukienda Isilii wao ndio wanafanyabiashara,Ukienda westland,Muthaiga wasomali wamenunua majumba after 10 years mtakuwa watumwa
 
Naona nguo tu hapo na madumu ya maji...





Cc: mahondaw
Hii kikundi cha wezi wa mikate na blue band kama kimechanganyikiwa, yaani special force kwenda kuvamia walevi wa kisomali wanaochemsha gongo maporini humo! Nilitarajia nione vifaa vya kivita vilivyokamatwa ila tunaona madumu ya maji na matairi afu watuhumiwa wamekimbi. Huku kwetu wahalifu wa namna hii huzibitiwa na walinzi wa kijiji.
Mode wameshatoa nyie mlikua hamna bando
 
Back
Top Bottom