Tutajie eneo la Tanzania ambalo jeshi linaogopa kwenda..au hakuna ordersLakini hazishindi shida zilizoko huko Tanzagiza.........za Bongo ni za kufa mtu.
KAPEDO vp..SOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border.
Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh.
Njooni tuwape mafunzo,waliopigana vita vya Kagera wamestaafu.
View attachment 1684886
Mode wameshatoa nyie mlikua hamna bandoHii kikundi cha wezi wa mikate na blue band kama kimechanganyikiwa, yaani special force kwenda kuvamia walevi wa kisomali wanaochemsha gongo maporini humo! Nilitarajia nione vifaa vya kivita vilivyokamatwa ila tunaona madumu ya maji na matairi afu watuhumiwa wamekimbi. Huku kwetu wahalifu wa namna hii huzibitiwa na walinzi wa kijiji.