Kenya: Polisi imemkamata Mwanaume 1 kwa kosa la kutaka kujiua kisa Mke anachepuka

Kenya: Polisi imemkamata Mwanaume 1 kwa kosa la kutaka kujiua kisa Mke anachepuka

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Polisi nchini Kenya imemkamata Mwanaume mmoja mwenye Watoto Watatu kwa kosa la kutaka kujiua kisa Mke wake anachepuka na Wanaume Wengine, inaelezwa kuwa Mwanaume huyo alijifungia ndani ya nyumba na kisha akawasha moto kabla ya Wananchi kuja na kumuokoa.
IMG_20180910_170456.jpeg


MY TAKE;

Ni aibu aana mwanaume kujiua kisa mapenzi, yaani umeshakuwa naudhibitisho kwamba katenda kinyume na makubaliano, siafiki kwamba kujiua ni njia bora, unajikosesha raha ya dunia. Kujiua na kuua kwa akili ya kawaida kipi ni kipi? Kujiua ni kosa.

=====

Kisumu man arrested after failed suicide attempt over cheating wife

Police in Kisumu are holding a man who tried to commit suicide after he suspected his wife was cheating on him.

Confirming the incident, Central Kisumu location Chief Simon Osege Orwa said the father of three locked himself inside the house and set it on fire in an attempt to take his life.

The administrator further stated that villagers who were nearby responded swiftly and managed to break the door and get him out.

The neighbours then alerted police who arrested Mr. Okoko pending his arraignment in court on Monday.

An eyewitness, Michael Nyaguti, told Radio Ramogi that the man started by destroying some of the household items before setting the house on fire.


The suspect’s wife and kids were, however, not in the house during the incident.

https://citizentv.co.ke/news/man-ar...-suicide-over-cheating-wife-in-kisumu-211675/
 
Wangemuacha tu huyo mjinga ajiue. Mimi namjua kijana mmoja, mwanaume pia, aliyejifungia ndani ya nyumba, akasema anakunywa sumu afe kisa eti ni mapenzi. Kisha akachanganya sumu na lita kumi za maji. [emoji1] Inakuwaga ni show tu.
 
Ni vizuri majirani walifika mapema...huyo atakuwa hana akili
 
Haaaaa hapo watanzania tungeonyeshwa picha ya huyo mwanamke mwenyewe ambaye jamaa anataka kujiua kwa ajili yake tungezimia atakuwa na sura kama ya idi amini
 
Haaaaa hapo watanzania tungeonyeshwa picha ya huyo mwanamke mwenyewe ambaye jamaa anataka kujiua kwa ajili yake tungezimia atakuwa na sura kama ya idi amini
Utoto ukikuisha siku moja utajua, kipendacho moyo kweli ni dawa.
 
Back
Top Bottom