Noma sana. Huyo jamaa anasema huwa ziko live. Hio kazi siwezi fanya unless wanilipe milioni moja kila mwezi.
Wewe ni nani? Unayajua haya kivipi?Wakenya mnababaika na vitu vidogo sana.
Hiyo kutumia helikopta ni kwaajili ya kuzuia conduction kwenye high voltage, ndiyo maana ndege huwa hawanaswi kwenye hizo nyaya, sababu hakuna conduction na ground. Halafu hawa wanaofanya hivi huwa siyo ma-engineer kama video inavyosema, hawa huwa ni ma-technician tuu.
Cha muhimu umeelimika.Wewe ni nani? Unayajua haya kivipi?