Kenya power airborne team

Kenya power airborne team

Wakenya mnababaika na vitu vidogo sana.

Hiyo kutumia helikopta ni kwaajili ya kuzuia conduction kwenye high voltage, ndiyo maana ndege huwa hawanaswi kwenye hizo nyaya, sababu hakuna conduction na ground. Halafu hawa wanaofanya hivi huwa siyo ma-engineer kama video inavyosema, hawa huwa ni ma-technician tuu.
 
Wewe ni nani? Unayajua haya kivipi?
 
Back
Top Bottom