Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Wakenya mna bahati jito la jiwe yuko bahari Hindi akiogelea. Otherwise mngehisi joto lake kwa huu Uzi.Haiyaaa>>>This is a shocker.Si hapa tunaimbiwa mashairi kila siku oooh Danganyika nchi ya asali,ooh nchi ya maziwa...kumbe tu ni nchi ya paka mzee
Si kweli! Figures for Tanzania supposes to be in Metric tonnes mind u 1 mt= 1.1 tons= 1100 kg!It could be true,Unajua Kenya watu wanatumia mahindi Sana, wakenya wengi hawatumii ugali wa mhogo kama ilivyo Tanzania ,huku kwetu watu wanalima mahindi na mpunga , mihogo wanalima Kwa kiasi kidogo Sana eneo la kilifi tofauti na ilivyo Tanzania, Halafu pia eneo kama la turkana watu Kwa kiasi kikubwa wanatumia mahindi na sio mchele sasa ukisikia njaa ipo turkana vyakula vingine vipo tu Ila wanapata ugumu kuvitumia maana wamezoea ugali.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
MKUU EMBU BE SERIOUS ACHA UTOTO.It could be true,Unajua Kenya watu wanatumia mahindi Sana, wakenya wengi hawatumii ugali wa mhogo kama ilivyo Tanzania ,huku kwetu watu wanalima mahindi na mpunga , mihogo wanalima Kwa kiasi kidogo Sana eneo la kilifi tofauti na ilivyo Tanzania, Halafu pia eneo kama la turkana watu Kwa kiasi kikubwa wanatumia mahindi na sio mchele sasa ukisikia njaa ipo turkana vyakula vingine vipo tu Ila wanapata ugumu kuvitumia maana wamezoea ugali.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kwani ni ugonvi mkuu?So what?
Hata kenya ingezalisha kidogo kuliko Tz..
So what?
Yaani unataka sema nn....
Huu ndio ukweli,wakenya kula wali ni siku ya sikukuu!Kenya wanakula sana ugali.
Tz wanakula sana wali
Kenya is a leading producer of tea and coffee, as well as the third-leading exporter of fresh produce, such as cabbages, onions and mangoes. Small farms grow most of the corn and also produce potatoes, bananas, beans and peas.Si kweli! Figures for Tanzania supposes to be in Metric tonnes mind u 1 mt= 1.1 tons= 1100 kg!
Wali huwa tunakula kama appetizer tukingoja ugali uive. Hata siku ya sikukuu. 😎Huu ndio ukweli,wakenya kula wali ni siku ya sikukuu!
Haiyaaa>>>This is a shocker.Si hapa tunaimbiwa mashairi kila siku oooh Danganyika nchi ya asali,ooh nchi ya maziwa...kumbe tu ni nchi ya paka mzee
Mkuu hawa jamaa ni wa kuwapuuza yani mpk nishajiwa na akili kuwa nisibishane na mkenya maana doh huwa hawatumii akili.Kwan hawa jamaa si juzi wamelia kisa magu kazuia magari ya kupeleka mahindi kwao kenya leo wamesaau wakat soko kibaigwa dodoma msimu ndo wanaongoza kupanga foleni
Wacha upumbavu inamaana WFP n FAO figures released lying! Cha ajabu hata bangi uliyovuta leo inaweza ikawa imetoka Tanzania!
Wacha upumbavu inamaana WFP n FAO figures released lying! Cha ajabu hata bangi uliyovuta leo inaweza ikawa imetoka Tanzania!
nina mashaka na akili zenu nyie.
Twende kiuhalisia.
Kenya kama ina food security kushinda Tz kwann mna hunger and famine Northern Kenya.??
Kama mna food security it means mna surplus za kutosha,kipi kinachowafanya mkanunue mahindi nje ya nchi??
Unajua umepewa ubongo wa kuutumia na kufikiria na kuchanganua mambo kabla hujayaeka kichwani.
Tanzania ambayo inaonekana haina surplus kama kenya ime donate food malawi.
Ila Kenya iliyo na. SURPLUS za kutosha wana hunger and famine ukizingatia hawana population km ya tz.
Na wanaagiza mazao nje.
Bro are you serious ??
Hata ukimwelezea mtoto wako hii statement atakuelewa kweli ndugu ??
Embu acha utani bhana kuwa mtu mzima kidogo.
Wewe shida yako ni kuelewa kingereza. Makosa makubwa Nyerere kuwafanyia Tanzania. Bongolala kweli.
Kenya kuwa more 'food secure' kuliko Tanzania, haimaanishi kwamba tuko na food security. Inamaanisha kwamba tuko afadhali kumliko.
Vile vile, mimi kuwa tajiri kukuliko, sio lazima imaanishe kwamba mimi cha ukweli ni tajiri. Inamaanisha tu kwamba mimi nina pesa nyingi kukuliko.
Tanzania kudonate chakula Malawi ni ujinga tu. Kenya imedonate chakula maisha yake yote. Ata baada ya 9/11 wamaasai wa Kenya walidonate ng'ombe zao kwa marekani.
Mwisho, kama unaweza rudia post yangu ya kwanza, nilieleza kwamba shida ya kenya sio food production. Ni food distribution.
Ndio maana wanaoishi Turkana mbali na civilization, wako na njaa ilhali sehemu zingine za nchi chakula kinatupwa.
Kama una maswali mengine, enda ukaulize UN, UNDP, USAID, FAO, IMF na wengineo ambao wametoa data kwamba Kenya iko afadhali kuliko Tanzania.
Wakenya mna bahati jito la jiwe yuko bahari Hindi akiogelea. Otherwise mngehisi joto lake kwa huu Uzi.