Wewe shida yako ni kuelewa kingereza. Makosa makubwa Nyerere kuwafanyia Tanzania. Bongolala kweli.
Kenya kuwa more 'food secure' kuliko Tanzania, haimaanishi kwamba tuko na food security. Inamaanisha kwamba tuko afadhali kumliko.
Vile vile, mimi kuwa tajiri kukuliko, sio lazima imaanishe kwamba mimi cha ukweli ni tajiri. Inamaanisha tu kwamba mimi nina pesa nyingi kukuliko.
Tanzania kudonate chakula Malawi ni ujinga tu. Kenya imedonate chakula maisha yake yote. Ata baada ya 9/11 wamaasai wa Kenya walidonate ng'ombe zao kwa marekani.
Mwisho, kama unaweza rudia post yangu ya kwanza, nilieleza kwamba shida ya kenya sio food production. Ni food distribution.
Ndio maana wanaoishi Turkana mbali na civilization, wako na njaa ilhali sehemu zingine za nchi chakula kinatupwa.
Kama una maswali mengine, enda ukaulize UN, UNDP, USAID, FAO, IMF na wengineo ambao wametoa data kwamba Kenya iko afadhali kuliko Tanzania.