Kenya produces More Maize than Tanzania (3 times)

...na wewe si unaona wanatandikwa watatu watatu na mkenya mmoja.. Mtu anayesosi ugali ana nguvu sana
 

Tunanunua mazao nje ya nchi kwa sababu consumption iko juu ya production. Nini ngumu kuelewa hapo.

Muanzilishi mada ameandika vizuri.
 
Ishhhhhh consumption ya 40s millions people tena na wengine hawa meet hyo consumption iko juu ya production aisee??
Mkuu niache njia panda nifike home.
KWAHERI
Tunanunua mazao nje ya nchi kwa sababu consumption iko juu ya production. Nini ngumu kuelewa hapo.

Muanzilishi mada ameandika vizuri.
 
Reactions: Oii
Cha kushangaza hatujawahi tangazwa kupata balaa njaa aisee.
Kama kenya mtangazwavyo.
wow!! Now we know. Very enlightening. Tunaambiwanga hunger striken sijui failed state kumbe wako worse. Nyani hawa!
 

Tunanunua kutoka nje kwa sababu consumption ya bidhaa hizo iko juu ya production. Nini ngumu kuelewa hapo?

Mfano, kama mwanzilishi mada alivyosema:

Kenya Maize Production - 47.4 million Bags
Kenya's Demand - 52 Million Bags

Vivyo hivyo, kuna bidhaa mingi Kenya ambazo production iko juu ya consumption, inabaki tumeexport.

Jambo lingine ni kwamba consumption ya chakula Kenya iko juu kuliko Tanzania. Maanake kwamba Tanzania watu wanakula chakula kidogo kama ndege.

Mfano, ukiangalia the average meat consumption per person per year.

Kenya - 16.7 kg per year.
Tanzania - 9.6 kg per year.

Kumaanisha mnazalisha kidogo na mnakula kidogo.

''TZ haijawahi nunua food nje..'' Sijui kama wewe hujiskiza ukiongea?

Mimi ambaye hutembea TZ karibu kila mwezi, supermarket zenu zimejaa bidhaa za Kenya. Hio sio chakula cha nje?
 

Wewe sasa utaenda kubishana na wenye data. UN, FAO na wengineo.
Imeonekana kwamba ujinga wa CCM hauwezi kutoka kwa kichwa.

Beef production
Kenya - 425,000 tonnes
Tanzania - 309,000 tonnes

Pig production
Kenya - 15,000 tonnes
Tanzania - 14,000 tonnes

Total poultry
Kenya - 42 million
Tanzania - 37 million

Milk consumption per person
Kenya - 95 kg
Tanzania - 40 kg

Egg production
Kenya - 98,000 tonnes
Tanzania - 35,000 tonnes

Cattle yield per animal
Kenya - 205 kg
Tanzania - 103 kg

Data by FAO
Source - https://ourworldindata.org/meat-and-seafood-production-consumption
 
Oh my God mm nazungumzia mazao ww wasema kuhusu vyakula vilivyosindikwa we kweli sio mzima.
 
Mimi sichukui tu data nikaziweka tu kichwan pasi na kuangalia reality mzee babaaaa.
Watu wengi kwenu hulalama njaa nani ana consume hyo production km sio wachache wenye kujiweza??
Kuna vitu vingine ni vya kuvitafakari aisee mzee baba.
Mimi hizo details sio km sizijui nazifaham vema tuu.
Ila twende in reality
Hizo details haziendani na reality baba angu.
Sio km sizijui.
KWAHERI
 
Reactions: Oii
Poor journalism as usual! There's no way kenya of around 50 mln produces that amount n yet hunger and Tanzania of of 57mln n having bumper harvest to an extent of exporating. The figure for Tanzania r in tonnes n not bags!
It can be very true Tanzanians mostly feed on rice. In fact they don't fancy ugali, while ugali is staple food in Kenya. So the maize produced in Tz is more than enough for them.
 
It can be very true Tanzanians mostly feed on rice. In fact they don't fancy ugali, while ugali is staple food in Kenya. So the maize produced in Tz is more than enough for them.
There is some sense in that
 
MKUU EMBU BE SERIOUS ACHA UTOTO.
YANI TURKANA WAKO RADHI WAFE NJAA KISA HAKUNA MAINDI YA SEMBE LAKINI MCHELE UPO??
EMBU BE SERIOUS NDUGU
Turkana ni Jimbo kubwa zaidi na siku zote wale hupatwa na njaa wapo mbali mno na miji ya turkana , sijawahi sikia eti mtu amekufa njaa lodwar ambapo ndio mji mkuu wa turkana afu wale ni wafugaji wa kuhamahama Kwa hivyo usitarajie wafanyibiashara wamfwate mfugaji malishoni kisa kumuuzia chakula,hio turkana unaidharau leo wakongo wanaiabudu maana ina wasupply fish in thousands of tonnes.
 
Mbona ugali unaliwa hadi Dar? Ukienda leo mikoa ya tanga , pwani na Kilimanjaro mbona tu utapata mashamba mengi ya mihogo na huko ni mbali Sana na kanda ya ziwa ,hizo mihogo kwani zinalimwa halafu zinatupwa? Si wanakula ugali.
 
Ishhhhhh consumption ya 40s millions people tena na wengine hawa meet hyo consumption iko juu ya production aisee??
Mkuu niache njia panda nifike home.
KWAHERI
Ujue kwamba mahindi sio ya kukula tu ugali,pia mahindi yanatumika kama raw material Kwa factory kuzalisha bidhaa zingine.
 
Umesoma huu uzi ukaulewa lkn..kenya wana produce mahindi kw wingi kuliko tanzania..ila demand bado ipo juu
Kwan hawa jamaa si juzi wamelia kisa magu kazuia magari ya kupeleka mahindi kwao kenya leo wamesaau wakat soko kibaigwa dodoma msimu ndo wanaongoza kupanga foleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…