YANI STILL BADO NIMEKUONA HUNA AKILI NA MJINGA.
NA BADO HUJAWEZA HATA KUJIBU MASWALI YANGU.
NA STILL UMEROPOKA INSTEAD YA KUONGEA.
KAMA KENYA IKO AFADHALI KUTUZIDI KWANN MUNUNUE MAZAO NJE YA NCHI??
HV WW UNATUMIA AKILI KWELI??
NI SAWA NA UNAMBIE NINA KISIMA CHA MAJI KIZURI KUKUZIDI THEN UNAENDA KWA JIRAN KUCHOTA MAJI WE UTAKUWA UNA AKILI TIMAM KWELI??
HAKUNA KISICHOELEWEKA NILIKUAMBIA NDIO MAANA NIKAWA NA COMPARE KENYA NA TZ.
TZ HATUJAWAHI KUNUNUA FOOD NJE AISEE.
ILA NYIE KENYA MLIO NA HAUWEN KULIKO SISI KWANINI MUNUNUE CHAKULA NJE??
ACHA UTOTO BHANA WATU TUNAJIELEWA
Tunanunua kutoka nje kwa sababu consumption ya bidhaa hizo iko juu ya production. Nini ngumu kuelewa hapo?
Mfano, kama mwanzilishi mada alivyosema:
Kenya Maize Production - 47.4 million Bags
Kenya's Demand - 52 Million Bags
Vivyo hivyo, kuna bidhaa mingi Kenya ambazo production iko juu ya consumption, inabaki tumeexport.
Jambo lingine ni kwamba consumption ya chakula Kenya iko juu kuliko Tanzania. Maanake kwamba Tanzania watu wanakula chakula kidogo kama ndege.
Mfano, ukiangalia the average meat consumption per person per year.
Kenya - 16.7 kg per year.
Tanzania - 9.6 kg per year.
Kumaanisha mnazalisha kidogo na mnakula kidogo.
''TZ haijawahi nunua food nje..'' Sijui kama wewe hujiskiza ukiongea?
Mimi ambaye hutembea TZ karibu kila mwezi, supermarket zenu zimejaa bidhaa za Kenya. Hio sio chakula cha nje?