kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Evidence? As if our meat, pulse, fruits n coffee that we produce more than u is never exported!
To the whole world! Ur tea goes to Pakistan n Egypt only!Evidence of what? That we export agricultural produce?
Being Africa's leading tea producer and largest exporter of black CTC (CUT, TEAR AND CURL). Kenyan tea grown in volcanic soils produces some of the best grades of tea, accounting for 25% of total tea exports into the world market. KTDA produces about 60% of Kenya’s tea, guaranteeing and standardizing the quality of tea.To the whole world! Ur tea goes to Pakistan n Egypt only!
Umesoma huu uzi ukaulewa lkn..kenya wana produce mahindi kw wingi kuliko tanzania..ila demand bado ipo juu
Nashindwa kuelewa sababu juzi tu mmetoka kufa njaa sasa sijui kilimo chenu kwa wengi kivipi nieleweshe uzi wako vizuri
Aise we jamaa ni fara kweliKenya produces more food than Tanzania. That's the only thing you need to know and understand.
Mnacho tushinda tu ni korosho.
To the whole world! Ur tea goes to Pakistan n Egypt only!
Mkuu hawa jamaa ni wa kuwapuuza yani mpk nishajiwa na akili kuwa nisibishane na mkenya maana doh huwa hawatumii akili.
Yule jamaa kule juu anakwambia TURKANA wafaa njaa kwasababu wanapata tabu mahindi ya sembe hamna japo vyakula vingine vipo.
Asa ww unamchukulia mzima huyo
...na wewe si unaona wanatandikwa watatu watatu na mkenya mmoja.. Mtu anayesosi ugali ana nguvu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jama we kumbe boya...yani hujui hata maana ya surplus na demand...kwel elimu ya tanzania duni[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kwaiyo watu wa turkana wapa radhi wafe na njaa wakisubiri mahindi huku mchele upo? Usikute wewe ni mhitimu wa chuo kikuu Kenya kweli elimu ya Kenya ni kinyesiIt could be true,Unajua Kenya watu wanatumia mahindi Sana, wakenya wengi hawatumii ugali wa mhogo kama ilivyo Tanzania ,huku kwetu watu wanalima mahindi na mpunga , mihogo wanalima Kwa kiasi kidogo Sana eneo la kilifi tofauti na ilivyo Tanzania, Halafu pia eneo kama la turkana watu Kwa kiasi kikubwa wanatumia mahindi na sio mchele sasa ukisikia njaa ipo turkana vyakula vingine vipo tu Ila wanapata ugumu kuvitumia maana wamezoea ugali.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Huyo ni degree holder wa KUMKUU EMBU BE SERIOUS ACHA UTOTO.
YANI TURKANA WAKO RADHI WAFE NJAA KISA HAKUNA MAINDI YA SEMBE LAKINI MCHELE UPO??
EMBU BE SERIOUS NDUGU
Kenya Maize Production 2018 - 47.4 million Bags
Kenya's Demand - 52 Million Bags
Deficit - 4View attachment 1155647.6 million bags
Tanzania Maize Production - 15.9 million .
Tz's Demand - 13.3 million Bags
Surplus - 2.6 million bags.
Because of the deficit kenya has to import over 6 million bags of Maize.Kenytans should be diverse to avoid over reliance on Maize products.
Kenya akuna elimu bwege we hivi una zungumzia demand gani kwa idadi gani ya wakenya we unatumia akili gani kwani
Kwaiyo watu wa turkana wapa radhi wafe na njaa wakisubiri mahindi huku mchele upo? Usikute wewe ni mhitimu wa chuo kikuu Kenya kweli elimu ya Kenya ni kinyesi
Wakenya acheni kujitekenya hebu someni report ya FAO 2019 KUHUSU VYAKULA soma hasa kuanzia ukurasa 104 na kuendelea, taarifa imeambatanishwa hapo chini au go to FAO websiteView attachment 1156395
soma report kwanza uelewe, hizo data mlizoweka za kughushiUmeuelewa huu uzi kweli..au umekuja kuitetea ccm?
soma report kwanza uelewe, hizo data mlizoweka za kughushi
report hio inaonesha ni kiasi gani kenya wanaproduce maize kwa mwaka na demand yao ni kiasi gani kwa mwaka,vivyo hivyo na kwa Tanzania pia hata mazao mengine, kitu ambacho kenya manawazidi wa Tanzania ni production ya maziwa tuNdio nikakuuliza..umeuelewa uzi unasemaje kwanza before utetee ccm