Kenya produces More Maize than Tanzania (3 times)

Kenya produces More Maize than Tanzania (3 times)

To the whole world! Ur tea goes to Pakistan n Egypt only!
Being Africa's leading tea producer and largest exporter of black CTC (CUT, TEAR AND CURL). Kenyan tea grown in volcanic soils produces some of the best grades of tea, accounting for 25% of total tea exports into the world market. KTDA produces about 60% of Kenya’s tea, guaranteeing and standardizing the quality of tea.
 
Umesoma huu uzi ukaulewa lkn..kenya wana produce mahindi kw wingi kuliko tanzania..ila demand bado ipo juu

Nashindwa kuelewa sababu juzi tu mmetoka kufa njaa sasa sijui kilimo chenu kwa wengi kivipi nieleweshe uzi wako vizuri
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jama we kumbe boya...yani hujui hata maana ya surplus na demand...kwel elimu ya tanzania duni[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nashindwa kuelewa sababu juzi tu mmetoka kufa njaa sasa sijui kilimo chenu kwa wengi kivipi nieleweshe uzi wako vizuri
 
To the whole world! Ur tea goes to Pakistan n Egypt only!

So you're saying Mombasa tea auction, the biggest tea auction in the world, only exports to Pakistan and Egypt?

bbc.JPG
 
Mkuu hawa jamaa ni wa kuwapuuza yani mpk nishajiwa na akili kuwa nisibishane na mkenya maana doh huwa hawatumii akili.
Yule jamaa kule juu anakwambia TURKANA wafaa njaa kwasababu wanapata tabu mahindi ya sembe hamna japo vyakula vingine vipo.
Asa ww unamchukulia mzima huyo

Ahahahahaha kumbe hata we umepata shida kutambua akili zao alafu wanajiona wasomi sana yani nife njaa kisa sijapenda mboga inabidi uwe na akili chache sana ndo unaweza fanya hivo kwel ngoja nisome tu comment zao
 
...na wewe si unaona wanatandikwa watatu watatu na mkenya mmoja.. Mtu anayesosi ugali ana nguvu sana

Wachaga wako karibu kbs na kenya lkn wanakula ndizi ujaenda kusini mwa tanzania alafu ugali mkuu auna nguvu ugali wa muhogo ndo energy ya kutosha ndo mana wakenya wanapigwa na wanawake zao sana fatilia utagundua
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jama we kumbe boya...yani hujui hata maana ya surplus na demand...kwel elimu ya tanzania duni[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Kenya akuna elimu bwege we hivi una zungumzia demand gani kwa idadi gani ya wakenya we unatumia akili gani kwani
 
It could be true,Unajua Kenya watu wanatumia mahindi Sana, wakenya wengi hawatumii ugali wa mhogo kama ilivyo Tanzania ,huku kwetu watu wanalima mahindi na mpunga , mihogo wanalima Kwa kiasi kidogo Sana eneo la kilifi tofauti na ilivyo Tanzania, Halafu pia eneo kama la turkana watu Kwa kiasi kikubwa wanatumia mahindi na sio mchele sasa ukisikia njaa ipo turkana vyakula vingine vipo tu Ila wanapata ugumu kuvitumia maana wamezoea ugali.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kwaiyo watu wa turkana wapa radhi wafe na njaa wakisubiri mahindi huku mchele upo? Usikute wewe ni mhitimu wa chuo kikuu Kenya kweli elimu ya Kenya ni kinyesi
 
Wakenya acheni kujitekenya hebu someni report ya FAO 2019 KUHUSU VYAKULA soma hasa kuanzia ukurasa 104 na kuendelea, taarifa imeambatanishwa hapo chini au go to FAO website
FAO.jpg
 

Attachments

Bwahahaaaa...naona ulikurupuka tu..unafikiria hili ni jukwaa la wana lumumba...mambo huenda kwa facts...wale sio story za vijiweni
Kenya Maize Production 2018 - 47.4 million Bags
Kenya's Demand - 52 Million Bags
Deficit - 4View attachment 1155647.6 million bags

Tanzania Maize Production - 15.9 million .
Tz's Demand - 13.3 million Bags
Surplus - 2.6 million bags.

Because of the deficit kenya has to import over 6 million bags of Maize.Kenytans should be diverse to avoid over reliance on Maize products.
Kenya akuna elimu bwege we hivi una zungumzia demand gani kwa idadi gani ya wakenya we unatumia akili gani kwani
 
Wana lumumba mnajifanya mwajua kila kitu yenu...ccm hoye...

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Food of Turkana People in Kenya
Turkana rely on their animals for milk, meat and blood. Wild fruits are gathered by women from the bushes and cooked for 12 hours. Slaughtered goats are roasted on a fire and only their entrails and skin removed. Roasting meat is a favorite way of consuming meat.
The Turkana often trade with the Pokots for maize and beans, Marakwet for Tobacco and Maasai for maize and vegetables. The Turkana buy tea from the towns and make milk tea. In the morning people eat maize porridge with milk, while for lunch and dinner they eat plain maize porridge with a stew.
Zebu are only eaten during festivals while goat is consumed more frequently. Fish is taboo for some of the Turkana clans (or brands, "ngimacharin"). Men often go hunting to catch dik dik, wildebeest, wild pig, antelope, marsh deer, hare and many more. After the hunt men go out again to gather honey which is the only sweet thing the Turkana have.
Kwaiyo watu wa turkana wapa radhi wafe na njaa wakisubiri mahindi huku mchele upo? Usikute wewe ni mhitimu wa chuo kikuu Kenya kweli elimu ya Kenya ni kinyesi
 
Ndio nikakuuliza..umeuelewa uzi unasemaje kwanza before utetee ccm
report hio inaonesha ni kiasi gani kenya wanaproduce maize kwa mwaka na demand yao ni kiasi gani kwa mwaka,vivyo hivyo na kwa Tanzania pia hata mazao mengine, kitu ambacho kenya manawazidi wa Tanzania ni production ya maziwa tu
 
Back
Top Bottom