komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ahaaaa...ni sawa na wewe uliyesema waliokula mavi ni upumbavu wao...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu ubakuja kumpinga mwenzio kifua kifua
Mkuu hawa jamaa ni wa kuwapuuza yani mpk nishajiwa na akili kuwa nisibishane na mkenya maana doh huwa hawatumii akili.
Yule jamaa kule juu anakwambia TURKANA wafaa njaa kwasababu wanapata tabu mahindi ya sembe hamna japo vyakula vingine vipo.
Asa ww unamchukulia mzima huyo