Kenya; Professor Manyora ni miongoni mwa wazalendo wachache watetezi wa wakenya

Kenya; Professor Manyora ni miongoni mwa wazalendo wachache watetezi wa wakenya

Tundu lissu naona apewe Urais kwa kuwa Ana uwezo mkubwa was kufikiria mambo kuliko Magufuli na majizi mapimbi wa Ccmu huko Dona kantri bongolala.
Tanzania sio Failed state kama Kenya
 
Geza ulole-the maasai nation grazed their livestock for ages across the vast fertile lands of mara and serengeti until the german and british came and drew a line that seperated them into different nationalities......joto la jiwe-so you got worked up because i mentioned tanzania LOL,you mud sling kenya all the time yet you never see me engaging you in negatively(put me in the company of any two people at random-they will invariably have something to teach me,i can take their qualities as a model and their DEFECTS as a warning)
My post was straight forward and non confrontational one. You were supposed to respond to the topic, then if you have any issue concerning to Tanzania land policy then you can bring later.
 
Kijana mdogo.....how was i confrontational?-tell me .you don't have the monopoly of insults by the way-sisi wakazi wa kibera na mathare tuna roho chafu sana-but am beyond that now,i know better.
 
Mbona umechallenge hapo alipozingumzia land issues, Tafadhali tunataka kusikia maoni yako kuhusu hili la SGR, vipi Manyora anazungumza ukweli?
heheheee...unataka kusikia ya jirani na wakati yako hata kuyatamka huwezi....ile tv station au proffessor kwenu ataenda kufanya mjadala live...huo ndio utakuwa mwisho wake...maoni yake hayo na hayapingwi..na wala hakuna siku uhuru au serikali itatiwa pressure na mitazamo ya watu....wakenya watu wanajielewa bana..tunaheshimu sana mitazamo ya wengine...

si hko kw jiwe mtu katoa madudu ya serikali.eti mpka spika katoa povu balaa...bwahahaaa
 
Tundu lissu naona apewe Urais kwa kuwa Ana uwezo mkubwa was kufikiria mambo kuliko Magufuli na majizi mapimbi wa Ccmu huko Dona kantri bongolala.
nakwambia huyo kibaraka wa magu kwao mijadala km hyo ni ndoto...atabaki kuionea kenya...eti umuite makonda umuhoji...una wazimu...utantea debeni hadi ushangae...nakwambia hapa akileta mijadala ya kwao ndio tutakaa mezaa moja tuongee km watu wazima...lkn kibaya zaidi ya kwao ni moto ..hayagysiki..kisha eti anakuja taka kuongea ya kenya wakati ya tanzania hana balls ya kuyataja...atatekwa nakwambia...
 
heheheee...unataka kusikia ya jirani na wakati yako hata kuyatamka huwezi....ile tv station au proffessor kwenu ataenda kufanya mjadala live...huo ndio utakuwa mwisho wake...maoni yake hayo na hayapingwi..na wala hakuna siku uhuru au serikali itatiwa pressure na mitazamo ya watu....wakenya watu wanajielewa bana..tunaheshimu sana mitazamo ya wengine...

si hko kw jiwe mtu katoa madudu ya serikali.eti mpka spika katoa povu balaa...bwahahaaa

Huku ndio kujielewa?
1) Feasibility studies... Chinese
2) Financer..... Chinese
3) Contractor..... Chinese
,4)Supplier of locomotives,... Chinese
Kweli Nyang'au mnajielewa
 
nakwambia huyo kibaraka wa magu kwao mijadala km hyo ni ndoto...atabaki kuionea kenya...eti umuite makonda umuhoji...una wazimu...utantea debeni hadi ushangae...nakwambia hapa akileta mijadala ya kwao ndio tutakaa mezaa moja tuongee km watu wazima...lkn kibaya zaidi ya kwao ni moto ..hayagysiki..kisha eti anakuja taka kuongea ya kenya wakati ya tanzania hana balls ya kuyataja...atatekwa nakwambia...
Tatizo ninyi uwezo wenu wa kufikiria (IQ) ni mdogo sana, tupo hapa kuwasaidia ili muweze kupandisha uwezo wenu. Mimi ninaweka topics za Kenya kwasababu ninaona mapungufu yenu, sasa wewe badala ya kuweka mapungufu ya Tanzania. Wewe eti unataka Mimi ndio niweke mapungufu yetu, utasubiri sana.
 
a wapi...mijadala km hyo kwenu ni ndoto nakwambia..hta uruke ruke vp huo ndio ukwel...ya kwenu yamewashinda unataka na ya jirani..bongo lala ni bongo lala tu...mbna mlivyoambiwa mlete barabara mlitupia mapicha...narudia tena...mtanzania kazi yake ni domo tu na ya kwake yamemshinda...fikieni level kwanza ya kujadili madudu yenu live ndipo uje hapa uongee na wanaume...bwahahaaa
 
Huku ndio kujielewa?
1) Feasibility studies... Chinese
2) Financer..... Chinese
3) Contractor..... Chinese
,4)Supplier of locomotives,... Chinese
Kweli Nyang'au mnajielewa

hahaaa!!!
1.feasibility studies...magufuli
2.finacer...jiwe
3.contractor...chuma
4.supplier of locomotives...TRC
kweli ccm ni hatari..bwahahaaa
 
hahaaa!!!
1.feasibility studies...magufuli
2.finacer...jiwe
3.contractor...chuma
4.supplier of locomotives...TRC
kweli ccm ni hatari..bwahahaaa
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
Kaazi kweli kweli.
 
LOL😂..Afadhali wakenya wana huo uwezo mdogo wa kufikiria kuliko watanzania ambao hawana akilia hhivyo hawawezi fikiria chochote
 
Back
Top Bottom