Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Na unajitahidi kubadili avatar.Bora aibu kuliko fedheha.
Kama hana imani na tume basi kafanya jambo jema [kama habari ni ya kweli].
Huku kwetu CHADEMA huwa wanashiriki chaguzi za NEC halafu wakishindwa wanaanza kudai tume haiko huru.
Wengi hamjui mgogoro uko wapi! Supreme Court decision ndio imeleta hii shida yote. Ule uamuzi hata layman akiusoma anagundua the decision was made on political grounds but never facts.Ingalikuwa ni uamuzi mbovu sana kushiriki na IEBC hii. Kama alivosema Nyani Ngabu, this is the only way.
The constitution is clear on what next.
Nope! A fresh election to be conducted in 90daysThat means Uhuru ndo Rais,Sasa Raila hatokaa awe Rais,hakika maji hufuata mkondo.By the way kama hagombei je anakusudia kufanya nini ?
Kifupi ni kuwa hana IMANI na tume ya UCHAGUZI...!!Habari yako haijakamilika, ungesema ni kwasababu gani kajiondoa
mbona kaeleza au hujasoma?Habari yako haijakamilika, ungesema ni kwasababu gani kajiondoa
Huyo mahakama ya ICC inamuitaHuyu jamaa ana shida sana.. Inafika wakati anatakiwa aangalie maslahi ya nchi kwanza.. Hebu aache mambo yake maisha yaendelee..