KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

Kama amejitoa, what will be the next?
Kuna haja tena ya kuwepo uchaguzi wakati mgombea amebakia mmoja tu?
Kwanini Uhuru Kenyata asitangazwe sasa kuwa mshindi wa uchaguzi huo?
 
Kama hana imani na tume basi kafanya jambo jema [kama habari ni ya kweli].

Huku kwetu CHADEMA huwa wanashiriki chaguzi za NEC halafu wakishindwa wanaanza kudai tume haiko huru.

Kwa maCCM na NEC yao hata ukiyasusia wala hayashtuki wala kuona haya,,,,bora kukomaanao hata kama tume haipo huru,,
ILA ilipofikia kuna haja ya kudai tume huru ili kuipumzisha Ccm, ,maana haiwezekani kila kashfa wao ndio wanahusika, ,kuanzia mikataba ya ovyo ya madini au ufisadi wowote wao ndio wahusika wakuu,,
 
Ingalikuwa ni uamuzi mbovu sana kushiriki na IEBC hii. Kama alivosema Nyani Ngabu, this is the only way.

The constitution is clear on what next.
Wengi hamjui mgogoro uko wapi! Supreme Court decision ndio imeleta hii shida yote. Ule uamuzi hata layman akiusoma anagundua the decision was made on political grounds but never facts.
Raila anadai irreducible minimum, mambo yote yaliyopo humo yalishatolewa uamuzi na Mahakama kuu! Huwezi kuwaondoa officers kwa mere allegations ambazo mahakama ilitamka wazi kuwa hakuna afisa yeyote ambae ilimuona na makosa, makosa yaliyopo ni systematic errors!
Lakini kitu ambacho wengi wanadai ni kwanini IEBC isingefumuliwa yote? Jibu ni rahisi itawachukua miezi sita kuunda IEBC mpya yenye uwezo wa kusimamia uchaguzi na Raila anajua hilo, maana yake ndani ya siku 60 walizopewa na mahakama kuu hawatoeza kufanya kitu anachokitaka Raila!
IEBC ndio chombo kilichopewa mamlaka na katiba kusimamia uchaguzi na madai ya Raila yalikuwa yana pin point baadhi ya IEBC officials ambao yeye hawataki lakini mahakama hiyo hiyo ili wasafisha kuwa wanaweza ku conduct re run election.
 
Subiri maandamano yake sasa,aliyeitwa Baba wa demokrasia anaenda kuipaka mavi CV yake kwa kutumia polisi.
 
Huyu anahitaji kushughulikiwa sasa huwa anafurahia wakenya wakiuana!
 
hebu wataalamu wa mambo ya siasa za kimataifa watusaidie.kenya itapata athari gani?mimi sioni kipya nacho ona bwana uhuru atashinda kwa kishindo na kutawala kenya vizuri tu.
 
Wapinzan bwana!!! Kama maalm seif vile,km alshinda anaogopa nn kurudia uchaguz?au ashapokea chake afrca
 
Back
Top Bottom