Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Wao wakisusa wenzao watakulaAmeamua
26 October = how many days ?And 90 days is when ?Nope! A fresh election to be conducted in 90days
Nooooo. Why did I hear the name of Kalonzo? Then they should have captioned it as "NASA withdraws" not Raila!You don't understand.
Raila and Nasa have withdrawn. They don't want an election to take place.
mkuu umetema checheNimeshasema mara milioni kidogo humu kuwa NEC haiwezi kuwa huru endapo uongozi wake unaundwa na mwenyekiti wa CCM ambaye pia ndo rais na ambaye ni mshiriki wa uchaguzi.
Leo narudia kusema kwa mara ya milioni mbili kuwa NEC haipo huru. Umeelewa?
Sasa kama haiko huru kwa nini wapinzani washiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?
Alichofanya Raila ni sahihi kabisa na natamani kuona wapinzani wa TZ wakikifanya pia.
Kama katiba yenyewe ndio hii mnaweza mkawa mnafanya uchaguzi mwaka mzima
Tunaelekea huku
Tofautisha kenya na TZ mkuuAmuulize Maalim Seif wenzie wanakula yeye aendelee kususa!
I dont think NASA has any issue with their presidential candidate.I think they are not happy with the same IEBC officials conducting the election again.A very wise decision. But I thought they would have designated another one rather than the unpopular Kalonzo. There isn't much time enough to popularize Kalonzo. So, Uhuruto are back, me thinks.
Unafananisha Vibendera na NASA!!Kama hana imani na tume basi kafanya jambo jema [kama habari ni ya kweli].
Huku kwetu CHADEMA huwa wanashiriki chaguzi za NEC halafu wakishindwa wanaanza kudai tume haiko huru.
Tunaelekea huku
Umefurahi ehRafiki yake fudenge CHALIIIIIIIIII.