Kenya: Rais Ruto aamuru mageuzi ya Jeshi la Polisi

Kenya: Rais Ruto aamuru mageuzi ya Jeshi la Polisi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Amesisitiza dhamira ya Serikali yake katika kukomesha Mauaji ya kiholela nchini humo, kwa kuagiza Mipango ya Mageuzi ya Jeshi hilo na uangalizi wa Raia.

Haya yanajiri siku chache tu baada ya kusambaratisha Kitengo cha Polisi kinachodaiwa kuhusika na Mauaji na watu kutoweka ambao wameongezeka katika miaka ya hivi karibuni.

Ripoti zinasema kuwa hatua hiyo ilifuatia uchunguzi wa kutoweka kwa raia wawili wa India na dereva wao wa eneo hilo mwezi Julai na Mauaji ya Mwandishi wa #Pakistan, #AshradSharif.

……………….

Kenyan President William Ruto has reaffirmed his government’s commitment to end extra-judicial killings in the country, by ordering a police watchdog to draw up plans for reforms with civilian oversight.

This comes just days after he disbanded a police unit alleged to be behind murders and disappearances that have soared in recent years.

Reports say the move followed an investigation into the disappearance of two Indian nationals and their local driver in July.

Kenyan police were on the spotlight this past week over the killing of Pakistani journalist Ashrad Sharif in what they claim was a case of mistaken identity.

Such killings have previously caused a diplomatic storm, with governments demanding justice for their slain nationals.

Last week, 12 Kenya police officers were told they would face charges of crimes against humanity for their alleged role in offences committed during the 2017 election period, including the murder of a six-month-old baby.

Source: BBC
 
🤔🤔🤔🤔 ni big deal raia kutoka Europe au America kuuliwa ndan ya Africa ilà sio big deal na ni jambo la kawaid tu raia wa Africa kuuliwa nje ya Africa. hakun hata kiongoz moja wa Africa atakaefungua mdomo kuoji kwann raia wake kauliwa
 
Raia wa Africa wanauawa kila kukicha uhindini na hata hao wahindi wenyewe wanauana sababu ya mila zao za class za kuzaliwa kuna upper na untouchable wenyewe wanaishi kwa matabaka.

Achia hilo la waafrika kuuawa ulaya wengi wanakuwa kwenye magenge ila la wahindi nadhani nimchezo wao hao wahindi. One day the truth will come out.
 
Back
Top Bottom