Kenya: Rais Ruto na Gachagua wasalimiana kwa kupeana mikono na Raila Odinga msibani

Kenya: Rais Ruto na Gachagua wasalimiana kwa kupeana mikono na Raila Odinga msibani

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Rais wa Kenya, William Ruto na Naibu wake, Rigathi Gachagua wakisalimiana kwa kupeana mkono na Kiongozi wa Azimio Raila Odinga wakati walipokutana kwenye msiba wa Mukami Kimathi ambaye alikuwa mke wa marehemu Dedan Kimathi ambaye alikuwa ni mpigania uhuru wakati wa Ukoloni.

Akiwa msibani hapo Odinga akasema “Natoa shukrani kwa Serikali kwa kutambua Field Marshal Mukami Kimathi kwa kusema hii hafla itakuwa ya Kitaifa, lakini ningependa kuwakosoa kuwa ikiwa mazishi ni ya Kitaifa, bendera inapaswa kupeperushwa nusu.”
Odi.jpg

Odinga.jpg
 
Back
Top Bottom