Dada Jeni
Ni afadhali waibe kuliko kuteka watu kila siku,watu tunaishi kwa hofu kama digidigi!
Hata wakiiba wanatumia hela hizo hizo humu nchini,ni afadhali kidogo!
Kenya wanapiga hatua na rushwa ni changamoto wataipatia jawabu.....
Sisi tuna changamoto nyingi mno....kama ifuatavyo:
-Uchumi wetu mdogo na haifanyi vizuri
-Katiba ya hovyo kabisa
-Demokrasia ipo ICU
-Elimu yetu ni ya hovyo
-Hatufati capitalism inavyotakiwa
-etc