Ina maana Kenya mna earn hela za utalii kushinda Tz?
Last time it was different.
Mh, hizi ranks zenu hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaponda uwanja wenu wa ndege na mashirika yenu ya usafiri wa anga. Inawabidi waje Kenya kwanza wapende wasipende, uwanja wa ndege wa JKIA ndio hub ukanda huu na sio kwa watalii pekee yake hata kwa wanabiashara. Tafakari hayo.Unataka uone wakitua tz waje kenya kufanya nini[emoji16][emoji16][emoji16], yaani watakuwa wamebakiza nini ambacho kinapatikana Kenya!!!
Ila hawawezi tua Kenya wakaacha kuja tz[emoji23][emoji23][emoji23], hata mke wako anajua hii.
"Kenya is currently the third largest tourism economy in Sub-Saharan Africa after South Africa and Nigeria, according to the Ministry of Tourism and Wildlife.
Alafu kumbuka kwamba Kenya bado kuna tishio la ugaidi na Tz ni kubwa karibia mara mbili ya Kenya na wana vivutio vingi vya utalii. Wavivu wamechanganyikiwa hawaitangazi nchi yao. Kazi kuiga na kuitizama Kenya. Hivi unajua kwamba ule wimbo wa 'Jambo Bwana' watz huwa wameuiga na wanautumia kuwakaribisha watalii kwenye mbuga zao? Ila sijui ile sehemu ya .....Kenya yetu, hakuna matata... huwa wanaifanyia remix ya aina gani. 😀
Ahaaa haaa haaa
A colonial mentality infested monkey.
Without self recognition, you will always be called nyani.
Haha hiki kijembe balaaSisi watanzania tunaamini wakenya wote ni matajiri kwa mujibu wa IMF, WB[emoji16][emoji16].
Ndio maana wahanga wa njaa turkana, bado tunaona ni maigizo tu, mkenya hawezi kufa njaa bana.[emoji1787][emoji1787]
Sijakuelewa, 'Jambo Bwana' ndio phrase ya tatu, ya kiswahili, kwa umaarufu duniani(nje ya bara hili) baada ya 'Hakuna Matata' na 'Safari'. Hayo yote ni kwasababu ya Kenya na wakenya.Hicho siyo kiswahili.
Unazungumzia wishes hapaTanzania wanashangaa vipi hawafiki hata nusu ya $7.5b ya Kenya.