mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Mombasa haichekani na nairobi, juu zote wanakaa wakenya. Mkitaka iingie league za dar sawa ni juhudi tu wala sio dhambi.TZ is just operating at below their potential lakini instead of pulling up their socks wanaishi kulinganisha..
Niliiwaambia very soon tutakuwa tunalinganisha Dar na Mombasa.. Nairobi itakuwa league ingine.