Kenya ranked third largest tourism economy in sub-saharan Africa.

Kenya ranked third largest tourism economy in sub-saharan Africa.

TZ is just operating at below their potential lakini instead of pulling up their socks wanaishi kulinganisha..
Niliiwaambia very soon tutakuwa tunalinganisha Dar na Mombasa.. Nairobi itakuwa league ingine.
Mombasa haichekani na nairobi, juu zote wanakaa wakenya. Mkitaka iingie league za dar sawa ni juhudi tu wala sio dhambi.
 
Alafu ukumbuke kwamba Kenya bado kuna tishio la ugaidi na Tz ni kubwa karibia mara mbili ya Kenya na wana vivutio vingi vya utalii. Wavivu wamechanganyikiwa hawaitangazi nchi yao. Kazi kuiga na kuitizama Kenya. Hivi unajua kwamba ule wimbo wa 'Jambo Bwana' watz huwa wameuiga na wanautumia kuwakaribisha watalii kwenye mbuga zao? Ila sijui ile sehemu ya .....Kenya yetu hakuna matata... huwa wanaifanyia remix ya aina gani. 😀
Tangaza kenya bana au haiuziki, mpaka ipitie tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Since the day the magufuli banned contradicting statistics from being published no one trusts any data from Tanzania.
Seriously even economic data from IMF,World Bank ,CIA differ..who is Magufuli to expect everyone to have same data.??
Blame your Supreme Leader, not me
So where do IMF get its info[emoji4][emoji4][emoji4].
 
So what..!

Utajiri wa Kenya umewasaidia nini kama mnashindwa kujilisha.
Sisi watanzania tunaamini wakenya wote ni matajiri kwa mujibu wa IMF, WB[emoji16][emoji16].

Ndio maana wahanga wa njaa turkana, bado tunaona ni maigizo tu, mkenya hawezi kufa njaa bana.[emoji1787][emoji1787]
 
Wakora sana hawa nyang'au..🙂
 
Tangaza kenya bana au haiuziki, mpaka ipitie tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unafeki uwazimu ila najua umenielewa. Mbona msitumie wimbo wa mondi wenu Singida Dodoma nyegezi kuwavutia watalii badala ya kuiga Jambo bwana, Kenya yetu hakuna matata? 😀 Alafu ni lini umesikia watalii wakitua JNIA Tz ili waje Kenya?
 
Unataka uone wakitua tz waje kenya kufanya nini[emoji16][emoji16][emoji16], yaani watakuwa wamebakiza nini ambacho kinapatikana Kenya!!!

Ila hawawezi tua Kenya wakaacha kuja tz[emoji23][emoji23][emoji23], hata mke wako anajua hii.
 
Hizi ranks
Haya wazee wa ranking,nyie endeleeni na hizo ranks zenu si tunakamua kimyakimya
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom