Kenya ranked third largest tourism economy in sub-saharan Africa.

Pole sana tuusan mtafika tu one day one time, wivu weka kando ili ujiulize vipi tumefika hapo mjaribu kuiga.
 
Kenya is steamrolling her fellow stupid poor states....

Mjinga bora kati ya wajinga wenzie!
 
Sijakuelewa, 'Jambo Bwana' ndio phrase ya tatu, ya kiswahili, kwa umaarufu duniani(nje ya bara hili) baada ya 'Hakuna Matata' na 'Safari'. Hayo yote ni kwasababu ya Kenya na wakenya.

Siongei kuhusu umaarufu. Bali naongelea usahihi wa kisarufi.
 
Siongei kuhusu umaarufu. Bali naongelea usahihi wa kisarufi.
Kiswahili ni lugha 'diverse' sana jombaa. Ndio maana huwa tunawashanga pia mkisema kudadeki na acha fiksi. [emoji1] Chimbuko la jambo bwana ni kule Mwambao, home of swahili. Tena huwa linatumiwa tu kuwaamkua watalii na wageni wasioelewa kiswahili, kwahivyo hakuna matata.
 
Sijakuelewa unachojaribu kukifafanua hapa. Lakini ukweli ni kuwa, hayo maneno siyo lugha rasmi ambayo hufuata kanuni za uandishi za kiswahili.
 
Sijakuelewa unachojaribu kukifafanua hapa. Lakini ukweli ni kuwa, hayo maneno siyo lugha rasmi ambayo hufuata kanuni za uandishi za kiswahili.
Hutanielewa zaidi ya hapo, kwahivyo sina la ziada.
 
Hutanielewa zaidi ya hapo, kwahivyo sina la ziada.

Jifunze kujenga hoja malidhawa. "Hakuna Matata" ni maneno ya mtaani yasiyo rasmi na ambayo hayajafuata sarufi ya kiswahili. Kwa kiswahili sanifu, maneno haya ilibidi yaandikwe "Hakuna Matatizo" au "Hakuna Shida".
 
An inferior baboon talking about inferior language.
Jifunze kujenga hoja malidhawa. "Hakuna Matata" ni maneno ya mtaani yasiyo rasmi na ambayo hayajafuata sarufi ya kiswahili. Kwa kiswahili sanifu, maneno haya ilibidi yaandikwe "Hakuna Matatizo" au "Hakuna Shida".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kujenga hoja malidhawa. "Hakuna Matata" ni maneno ya mtaani yasiyo rasmi na ambayo hayajafuata sarufi ya kiswahili. Kwa kiswahili sanifu, maneno haya ilibidi yaandikwe "Hakuna Matatizo" au "Hakuna Shida".
Boss, ni wapi hapo niliposema kwamba mpangilio wa maneno hayo ni rasmi kwa kiswahili. Soma hiyo comment yangu ya hapo awali mara tatu na uache ukudas. *Alafu sio malidhawa ni maridhawa.
 
Boss, ni wapi hapo niliposema kwamba mpangilio wa maneno hayo ni rasmi kwa kiswahili. Soma hiyo comment yangu ya hapo awali mara tatu na uache ukudas. *Alafu sio malidhawa ni maridhawa.

Sawa hapo tupo pamoja. "Hakuna matata" is a famous colloquial Swahili phrase originated from Kenya.

Thanks for correcting me. I checked it in the KAMUSI KUU YA KISWAHILI iliyoandaliwa na Taasisi ya Ukuzaji wa Kiswahili Tanzania (TUKI) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
 
Haya basi, nadhani hapo hata wakenya pale CHAKITA watakubali, kwamba chimbuko la hakuna matata ni Kenya. CHAKITA(Chama cha Kiswahili cha Taifa) ndio taasisi rasmi ya kufanya utafiti na kukuza lugha ya kiswahili Kenya. CHAKITA ndio walifanya tafsiri ya katiba mpya ya Kenya 2010, nilichukua copy kutoka kwao enzi hizo na ilikuwa safi kabisa.
 
Ahaaa haaa haaa
Baraza la KISWAHILI la Tanzania (BAKITA) ndiyo chombo kinachoshughulika na Ukuzaji wa Kiswahili Tanzania. NDIYO mara nyingi limekuwa likiendesha makongamano ya kimataifa ya Kiswahili TANZANIA wakishirikiana na TUKI na Taasisi ya ukuzaji wa mitaala ya Tanzania.
 
Ni jambo nzuri boss, CHAKITA ya Kenya na BAKITA ya Tz wana uhusiano mzuri sana na naongea kuhusu kitu nachokijua vyema. Nadhani nguvu za kwa pamoja zinahitajika sana kukikuza kiswahili ili kisambae hadi nje ya ukanda huu. Kuhusu kukikuza kiswahili usitegemee ubishi wowote kutoka kwangu. Tuna mengi sana ya kuiga kutoka Tz na mimi binafsi nimehusishwa kwenye mambo mawili matatu ya kuhakikisha kwamba agenda hiyo haipuuzwi Kenya.
 
If the figures are correct then

Kenya-1.54B Usd

Tanzania-2.43B Usd Revenues from Tanzania’s tourism sector increased by 7.13% in 2018 compared to 2017 thanks to the increase in arrivals from foreign visitors, the government disclosed. Revenues reached USD 2.43 billion in 2018, up from USD 2.19 billion in 2017, while tourist arrivals totaled 1.49 million compared with 1.33 million, Tanzania’s Prime Minister Kassim Majaliwa said in a presentation to parliament. According to the latest available International Visitors’ Exit Survey Report of 2017 by the National Bureau of Statistics of Tanzania (NBS), tourism earnings were USD 2,13 billion in 2016 with 1.2 million arrivals. The distribution of arrivals by region indicates that Europe continued to account for the largest share in 2017, followed by Asia and the Pacific, the Americas, Africa, and the Middle East. Recently, Tanzania’s Ambassador to China, Mr. Mbelwa Kairuki, disclosed that the China National Travel Service Group Corporation (CTS) is planning to invest in Tanzania’s tourism sector by constructing hotels on the mainland and Zanzibar.

Read more at: https://www.tanzaniainvest.com/tourism/tanzania-tourism-revenues-and-arrivals-up-in-2018 and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…