Kenya reaches out to TZ over stalled EU deal

Tanzania lacks almost everything - vision in terms of economy industries (not factories), farms of all sorts: diary and poultry and above all democracy.
Your brain is full of nonsense, siyo Tz! Na ni ngumu sana wewe kujitambua maana hata hujui kuwa unachokitetea hukijui
 
Let your brains work, at least for once. Nimekwambia Kenya has many industries that Tz, na kwa taarifa yako hata tourist sector ya Rwanda inaingiza hela nyingi kuliko Tz.
Tukiangali hata upande wa minerals Kenya sells far higher a bigger sale of Tanzanite than us, where are we (tusiokuwa vibaraka)?
Hiyo flower industry wenzetu wako mbele because they have a huge market share than us due to their good marketing strategies. Sintashangaa kuna mamlaka ya maua au chombo kinachoshinda ofisini tu ili uuze maua. Kenya mkulima wa maua ana mteja wake Ulaya, na wanakwenda mbali sana hadi wanauza mno New York, USA.
Acha kutoka povu na lugha isiyofaa kwa ushabiki wa kisiasa; you'd better learn to LISTEN to understand rather than listen ti RESPOND!

Acha ujinga wewe, Tanzania inaingiza hela nyingi kwenye utalii kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki na ni ya tatu kwa Afrika yote.
Mada hii ipo nje ya upeo wako naona unaongea pumba na hadithi za vijiweni, sio lazima uchangie hata kama hujui vitu.
 
Tanzania inaogopa nini huko wakati biashara ya kufanya na wazungu hakuna? Mazao ya kilimo kama chai, kahawa, pareto, pamba na tumbaku yanaundiwa na mamlaka nyingi kiasi cha kumuumiza mkulima kwa sababu bei ya sokoni faida inaliwa na mamlaka hizo

Hujui lolote kuhusu huo mpango wa EPA.
 
Acha ujinga wewe, Tanzania inaingiza hela nyingi kwenye utalii kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki na ni ya tatu kwa Afrika yote.
Mada hii ipo nje ya upeo wako naona unaongea pumba na hadithi za vijiweni, sio lazima uchangie hata kama hujui vitu.

Kwa taarifa yako I know much better than you think, kwa kukufahamisha tu nafanya kazi kwenye kampuni ya utalii airport inayojishughlisha na uwindaji, kukodisha ndege pamoja na kufanyia matengenezo / services ndege ndogo. Mwezi jana kampuni iliwapa redundancy wafanyakazi 52 kwa sababu wawindaji wamepungua mno (wanakwenda Masai Mara), wanaokwenda Zanzibar nao wamepungua mno (nenda kaulize hata pale Azam Marine). Kampuni imejikuta kuwa na ndege nyingi kwa sasa zikifukuza wateja wachache.
Watalii waliokuwa wamefanta booking kwa ajili ya msimu unaoanza mwezi wa saba wengi wame cancel.
Haya mwenye upeo fanyia kazi hayo niliyokupa halafu umeze ukweli.
 
Narudia tena hujui lolote, unaleta unyumbu wako humu bila ya kuwa na takwimu zozote. Peleka unyumbu wako kwenye jukwaa la siasa, humu hatujadili mambo ya uchama.
 
Kkq mbona unang'ang'ania uoga?, kupanga ni kuchagua, nyie ni nchi huru na mna mipango yenu na wala Tanzania haina sababu ya kiwaingilia,
Pia Tanzania ni nchi huru na ina mipango yake

Mipango ya kuwafanya wananchi maskini kila uchao?
 
Narudia tena hujui lolote, unaleta unyumbu wako humu bila ya kuwa na takwimu zozote. Peleka unyumbu wako kwenye jukwaa la siasa, humu hatujadili mambo ya uchama.

Kalaghabaho. Naona unataka nipigwa ban bure.
 
Let your brains work, at least for once. Nimekwambia Kenya has many industries that Tz, na kwa taarifa yako hata tourist sector ya Rwanda inaingiza hela nyingi kuliko Tz.
Tukiangali hata upande wa minerals Kenya sells far higher a bigger sale of Tanzanite than us, where are we (tusiokuwa vibaraka)?
Hiyo flower industry wenzetu wako mbele because they have a huge market share than us due to their good marketing strategies. Sintashangaa kuna mamlaka ya maua au chombo kinachoshinda ofisini tu ili uuze maua. Kenya mkulima wa maua ana mteja wake Ulaya, na wanakwenda mbali sana hadi wanauza mno New York, USA.
Acha kutoka povu na lugha isiyofaa kwa ushabiki wa kisiasa; you'd better learn to LISTEN to understand rather than listen ti RESPOND!
Tourism ya Rwanda inaingiza faida kushinda Tz? Come again
 
Mkurupukaji huyu anafaa kupuuzwa, anakuja na hadithi za vijiweni pasina facts zozote.
 
Back
Top Bottom