Na mlima kilimanjaro pia tunaumiliki wote tzMombasa ni Zanzibar,
Sometimes use logic my friend, sasa kama Pemba itakuja Kenya we utaichukua vipi Mombasa?the question here is maritime boundary, what claim do you have over Mombasa? Pili Mombasa haipo mpakani na Tanzania,mtaichukua vipi?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaota ndoto za alinacha.
Enda soma historia ya Shifta War wewe!Kiboko ya Kenya alikuwa yule Mjeda Barre
Huyo alikuwa anamtia jambajamba sana Rais wao wa zamani
Yaani walikuwa wanaiogopa sana Somalia ya wakati ule.
Hata hivyo pamoja na kuihujumu na kuingiza mamluki wao na serikali iliyozaliwa Nairobi lakini hawa jamaa hawayumbishwi na wanajua namna ya kuzitafuta
Kaeni mbali na Somalia maana hata Saudia alihonga sana ili mafuta yasichimbwe Somalia kwa hiyana ili auze yake tu.
Hili wengi walikuwa wanafikiria ni uongo au habari za kutunga lakini ukweli unaonekana sasa.
Kenya mziki wa Somalia hawawezi kuucheza maana Wariya mmoja anapambana na wa K kumi
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hamuiwezi Somalia hata wakifumba macho watawapiga sanaEnda soma historia ya Shifta War wewe!
Hivi wanaume wa Kenya si ndio mnaongoza kwa kupigwa na wake zenu?tracebongo kama kuna Nchi rahisi kuchapa ni tz wanaume wa kukatakatwa kwa mipanga na huku wamejiami kwa latest state of the art guns. Nyie kitu mnaweza ni vita za mdomo.
Hivi wanaume wa Kenya si ndio mnaongoza kwa kupigwa na wake zenu?
Nyie labda mpigane na Burundi tu,ndio size yenu.
Hahahaaa..kama sasa hivi walivyo bize na biashara ya mkaa wakati wenzao wanauwawaHamuiwezi Somalia hata wakifumba macho watawapiga sana
Kwanza kwa tamaa na wizi mtawauzia silaha badala ya kupigana
Tunajua mlivyo na tamaa ya maisha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ukimwamsha aliyelala, Utalala wewe...I think the mighty government of Kenya has been sleeping since Moi and Kibaki left. How is Somalia dominating us?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnachukua nini Anko umesema????mkorinto nilijua hutachelewa. Kama kawaida kakinuka kwetu tunachukua pemba yenu kwa hivyo usiombe Kenya ilemewe na Somalia.
Usijadili hoja kiushabiki mkuu. Wameshindwa na alshabaab wao hadi tunawapa usaidizi toka AMISON jeshi ndilo wataweza!Hamuiwezi Somalia hata wakifumba macho watawapiga sana
Kwanza kwa tamaa na wizi mtawauzia silaha badala ya kupigana
Tunajua mlivyo na tamaa ya maisha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kawaida yao kuiba hawana ubinadamu, lakini kwa Somalia wamepamia ipo siku kenya watai crimeaHahahaaa..kama sasa hivi walivyo bize na biashara ya mkaa wakati wenzao wanauwawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo sikuUsijadili hoja kiushabiki mkuu. Wameshindwa na alshabaab wao hadi tunawapa usaidizi toka AMISON jeshi ndilo wataweza!
Kwenye lile tukio la West gate ndiyo wali ishangaza dunia.. wanajeshi badala ya kupambana na magaidi wanaiba chocolate na kunywa juice huku wakimung'unya pipi! kushtuka magaida wamesha sepaKawaida yao kuiba hawana ubinadamu, lakini kwa Somalia wamepamia ipo siku kenya watai crimea
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hiyo ilikuwa ni aibu ya mwaka, mpaka officers wanaiba na walitumia bunduki kuvunja safe za hela kwenye madukaKwenye lile tukio la West gate ndiyo wali ishangaza dunia.. wanajeshi badala ya kupambana na magaidi wanaiba chocolate na kunywa juice huku wakimung'unya pipi! kushtuka magaida wamesha sepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga wako hauna tubaNilikuwa nasema sababu kuu ya uwepo wa majeshi ya Kenya ndani ya Somalia ni mafuta. Wamefanya kila njia kuisimika serikali ya Kisomali waliyoiasisi Nairobi. Walifikiri kwa kuwaweka vibaraka wao Mogadishu basi watawachezesha Wasomali kama vikaragosi!
Wamekutana na warriors wapenda mali, sasa wataipatapata.
Serikali waliyoisimika itaungana na wapigania Uhuru wanaowaita Al Shabab na kuanzisha songombingo jipya.
Tutegemee makambi ya jeshi la Kenya yaliyopo ndani ya Somalia kubondwa na tutegemee Wasomali zaidi ya 20% raia wa Kenya kuungana na Wasomali wenzao kuishambulia Kenya ndani ya Kenya.
Niliwaambia Wakenya mara kadhaa humu humu JF, ni heri wangekaa chini na wanaowaita Al Shabab wasikilizane, saa hizi wangekuwa na pakutokea. Sasa masikini Kenya "mambo yamekuwa mambo kushinda mambo yenyewe" (masharti ya Juma Bhalo wa Mombasa Kenya).
Hazidishiwi mwenye kudhulumu isipokuwa hasara.
Leta ujanja wako tuoneshe facts zako mbadala na hizo za ujinga wangu.
Got no time for this. Huelewi chochote , utaelezwaje sasaLeta ujanja wako tuoneshe facts zako mbadala na hizo za ujinga wangu.
hivi kwanini Wasomali unaowaita Al shabab watawaua mara kwa mara, mmewakosa nini?