Kenya recalls envoy to Somalia

Kenya recalls envoy to Somalia

Sometimes use logic my friend, sasa kama Pemba itakuja Kenya we utaichukua vipi Mombasa?the question here is maritime boundary, what claim do you have over Mombasa? Pili Mombasa haipo mpakani na Tanzania,mtaichukua vipi?.

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ilitakiwa unielewe nikimaanisha tunapodai tunaichukua pemba iliyoporwa tunapitia na mombasa.

Ishu y mpaka isikupe tabu,ni swala la kuamua tu tunakata pasi ndefu kutokea hapo Moshi kuitafuta mombasa,halafu tunatoa amri UN na itambulike hivyo.
 
Kiboko ya Kenya alikuwa yule Mjeda Barre
Huyo alikuwa anamtia jambajamba sana Rais wao wa zamani
Yaani walikuwa wanaiogopa sana Somalia ya wakati ule.
Hata hivyo pamoja na kuihujumu na kuingiza mamluki wao na serikali iliyozaliwa Nairobi lakini hawa jamaa hawayumbishwi na wanajua namna ya kuzitafuta

Kaeni mbali na Somalia maana hata Saudia alihonga sana ili mafuta yasichimbwe Somalia kwa hiyana ili auze yake tu.
Hili wengi walikuwa wanafikiria ni uongo au habari za kutunga lakini ukweli unaonekana sasa.

Kenya mziki wa Somalia hawawezi kuucheza maana Wariya mmoja anapambana na wa K kumi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Enda soma historia ya Shifta War wewe!
 
tracebongo kama kuna Nchi rahisi kuchapa ni tz wanaume wa kukatakatwa kwa mipanga na huku wamejiami kwa latest state of the art guns. Nyie kitu mnaweza ni vita za mdomo.
Hivi wanaume wa Kenya si ndio mnaongoza kwa kupigwa na wake zenu?

Nyie labda mpigane na Burundi tu,ndio size yenu.
 
Hamuiwezi Somalia hata wakifumba macho watawapiga sana
Kwanza kwa tamaa na wizi mtawauzia silaha badala ya kupigana
Tunajua mlivyo na tamaa ya maisha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Usijadili hoja kiushabiki mkuu. Wameshindwa na alshabaab wao hadi tunawapa usaidizi toka AMISON jeshi ndilo wataweza!
 
Kawaida yao kuiba hawana ubinadamu, lakini kwa Somalia wamepamia ipo siku kenya watai crimea

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kwenye lile tukio la West gate ndiyo wali ishangaza dunia.. wanajeshi badala ya kupambana na magaidi wanaiba chocolate na kunywa juice huku wakimung'unya pipi! kushtuka magaida wamesha sepa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye lile tukio la West gate ndiyo wali ishangaza dunia.. wanajeshi badala ya kupambana na magaidi wanaiba chocolate na kunywa juice huku wakimung'unya pipi! kushtuka magaida wamesha sepa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ilikuwa ni aibu ya mwaka, mpaka officers wanaiba na walitumia bunduki kuvunja safe za hela kwenye maduka

Yaani jamaa hawa ni majizi sana mimi niliapa kutokupita airport yao maana afisa mmoja alikuwa anaiba sanduku langu akilitoa nje ya airport baada ya kumshtaki Emirates akaanza kuniuliza passport
Nimekoma kupita huko

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Nilikuwa nasema sababu kuu ya uwepo wa majeshi ya Kenya ndani ya Somalia ni mafuta. Wamefanya kila njia kuisimika serikali ya Kisomali waliyoiasisi Nairobi. Walifikiri kwa kuwaweka vibaraka wao Mogadishu basi watawachezesha Wasomali kama vikaragosi!

Wamekutana na warriors wapenda mali, sasa wataipatapata.

Serikali waliyoisimika itaungana na wapigania Uhuru wanaowaita Al Shabab na kuanzisha songombingo jipya.

Tutegemee makambi ya jeshi la Kenya yaliyopo ndani ya Somalia kubondwa na tutegemee Wasomali zaidi ya 20% raia wa Kenya kuungana na Wasomali wenzao kuishambulia Kenya ndani ya Kenya.

Niliwaambia Wakenya mara kadhaa humu humu JF, ni heri wangekaa chini na wanaowaita Al Shabab wasikilizane, saa hizi wangekuwa na pakutokea. Sasa masikini Kenya "mambo yamekuwa mambo kushinda mambo yenyewe" (masharti ya Juma Bhalo wa Mombasa Kenya).

Hazidishiwi mwenye kudhulumu isipokuwa hasara.
Ujinga wako hauna tuba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom