Kwani curfew iliondolewa Kenya?
Sisi tushasahau Corona Kwanza hapa tunasheherekea tu kumkung'uta mtani 4G hata barakola sijui barakao tushasahau hata zinavaliwaje, hebu wangalie braza wako anavyovulahia maisha ya nchi yenye watu na akili zao.Ai magufuli jamani keshasema hakuna kupima maiti..
Ama nimeswna vibaya jamani
Kwanza ardhi yao haina mbolea sasa Bora wafe tu waongeze mboji ,kwi kwi kwi kwi kwiHata mkenya akifa ana faida gani?ghasia kabisa!
Leo imesoma 479!natamani waingie super lockdown.Wana kitengeneza kinyago,alafu kina watisha wenyewe.
Viongozi wao inabidi wajiongeze kuokoa uchumi na wananchi pia.Wakenya wamekomaa, lazima wabebe kombe la covid