pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hahaaa! [emoji1] Haina presha jombaa. Mbona basi wanapiga kelele kama za watu wanaoishi Canaan kwa maziwa na asali?Poleni sana..hali tunaisikia wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa! [emoji1] Haina presha jombaa. Mbona basi wanapiga kelele kama za watu wanaoishi Canaan kwa maziwa na asali?Poleni sana..hali tunaisikia wote
Wacha Kujifanya zuzu wa kusahau rahisiKweli kabisa, mwisho wa siku wananchi ndio wataumia. Mimi ni mzaliwa wa Kajiado, biashara pale Namanga nazielewa tangia utotoni. Najua ntakashifiwa ila ukweli lazima usemwe. Wakenya wapo kama zamani, wanafata faida kibiashara na wanajaribu kujiendeleza, kila mtu kivyake bila kubebwa na serikali yao wala sera zake. Serikali ya Tz nayo imejitahidi kuvuruga shughuli za kibiashara hata kwa wananchi wake. Nashangaa sana nikiwaona baadhi ya watz hapa wakisifia vitu vya ajabu wakiwa huko huko Dar na Dodoma. Morale ya wanabiashara wa kitz Namanga haijawahi fika kiwango cha chini kama sasa hivi. Amini usiamini wakenya huwa wakiliamsha upande wa pili watanzania nao upande huo mwingine huwa wanajawa na furaha kupindukia.
We just need a win - win situationSleeping giant gani nakati biashara iko stagnant soko landani limedorora la njee ndo hao tunagombana kila siku its not awaken giant were in a deep sleep
Hakuna chuki msee.. nothing is personal! Hizi story siyo za uongo, tuna eza anzisha uzi kuelezea list ya makampuni yaliyo angushwa kwa hira na wakenya. Mfano tiles zenu zilizuiliwa kwa sababu ya ubora baada ya kupimwa, pipi zenu sababu ya sugar ata UG aliliona hilo, ila nyie mna block bidhaa kwa sababu za kujibu mapigo.Hayo yote uliyoyasema yanahusu Kenya kivipi? Mimi nalaumu ujamaa. Kando na madhara yote ya mfumo huo wa zamani kiuchumi, ulieneza chuki zisizokuwa na tija kwa watanzania dhidi ya wakenya. Alafu kuna hadithi nyingi sana zilizoenezwa ambazo haziwezi dhibitishwa. Kama ni unyang'au hii mikakati yenu yote ya vita vya kibiashara tutaiita nini? Wewe ambaye ulisomea Kenya tuambie hata siku moja ambapo ulibaguliwa kwasababu wewe ni mtz. Cha kushangaza ni kwamba watanzania wanapendwa sana huku wakenya. Huku mitandaoni huwa nashangazwa sana na chuki na uongo unaoenezwa dhidi ya Kenya.
Safi kabisa ila kuna sehemu hapo sijaelewa. [emoji1] Sidhani ilikuwa ni hila za wakenya kwasababu humo ndani lazima kulikuwa na watz ambao walifanikisha 'hila' zenyewe. Mbona kusiwe na kamati ya pamoja ya kusuluhisha hii migogoro?Hakuna chuki msee.. nothing is personal! Hizi story siyo za uongo, tuna eza anzisha uzi kuelezea list ya makampuni yaliyo angushwa kwa hira na wakenya. Mfano tiles zenu zilizuiliwa kwa sababu ya ubora baada ya kupimwa, pipi zenu sababu ya sugar ata UG aliliona hilo, ila nyie mna block bidhaa kwa sababu za kujibu mapigo.
Ata huku wakenya wapo wengi sana wanafanya kazi za maana bila shida yoyote, tuna piga nao mitikasi kama kawa. Mpaka dada zetu tumewapa na wewe ukitaka njoo nazani hautopata tabu kupata dada zetu kwa sababu pakuanzia unapo [emoji2]. Mimi sina chuki kabisa na nyie, my closest friend ni Mkenya yupo Nai. Ila najua how you guys operate na jinsi serikali hii inavyo deal na nyie ni sahihi kabisa.
Hahahaa.. kuwa radar msee, utaelewa tu. Hii maneno itaisha ila itachukua muda kidogo kupata common ground. Tz na Ke lazima zishirikiane ata kama mamlaka zitazuia magendo yata tumika sana kwa sababu ya ukaribu wa raia mipakani, ku share border kubwa na mwingiliano wa raia. Ila najua yote yataisha. Raila alikua anasema kwenye kampeni "mkitaka kufanya biashara na Tz nichagueni mimi" i think alikua ana plan yake ya jinsi ya ku deal na Magu ambayo Uhuru bado hajaijua. We all need to win siyo ku kanyagana, lets hope the air clears sooner than later.Safi kabisa ila kuna sehemu hapo sijaelewa. [emoji1] Sidhani ilikuwa ni hila za wakenya kwasababu humo ndani lazima kulikuwa na watz ambao walifanikisha 'hila' zenyewe. Mbona kusiwe na kamati ya pamoja ya kusuluhisha hii migogoro?
China full stopYou cannot compete with Tz on agricltural Goods or manufactured goods, Their cost of production is so little that their prices are always consumer friendly.
Its like US/EU trying to compete with china on manufacturing, There will be only 1 loser
Itakuwa vigumu sana kuzuia bidhaa za kimagendo ikiwa serikali kwenye pande zote mbili zitashindwa kuwajibika. Kwanza sisi wakazi wa Kajiado, Narok na Longido huwa tunatambua sana damu kwanza kabla ya mipaka. 🙂 Hapo kwa Raila labda aliyasema hayo kama kitendawili. Hahaa!Hahahaa.. kuwa radar msee, utaelewa tu. Hii maneno itaisha ila itachukua muda kidogo kupata common ground. Tz na Ke lazima zishirikiane ata kama mamlaka zitazuia magendo yata tumika sana kwa sababu ya ukaribu wa raia mipakani, ku share border kubwa na mwingiliano wa raia. Ila najua yote yataisha. Raila alikua anasema kwenye kampeni "mkitaka kufanya biashara na Tz nichagueni mimi" i think alikua ana plan yake ya jinsi ya ku deal na Magu ambayo Uhuru bado hajaijua. We all need to win siyo ku kanyagana, lets hope the air clears sooner than later.
Ndio ivyo. Sasa Tanzania tuna viwanda vya kutosha vya kutengeneza kila bidhaa tuliokuwa tuna import from Kenya. If this happens, Tz industries will thrive, they will employ more people and it will be a benefit to our country. Kenyan factories will lose business, they will layoff employees and your country which is at the brink of collapse will even lose more revenue...
We need to bring Kenya downn on our knees at least for three months ili tuheshimiane...
you have said it all bro...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]You cannot compete with Tz on agricltural Goods or manufactured goods, Their cost of production is so little that their prices are always consumer friendly.
Its like US/EU trying to compete with china on manufacturing, There will be only 1 loser