Kenya resumes aTrade war: bans importation of rice from Tanzania

Wacha Kujifanya zuzu wa kusahau rahisi
https://www.nation.co.ke/business/K...pite-trade-row/996-4254678-jn9estz/index.html
 
Hakuna chuki msee.. nothing is personal! Hizi story siyo za uongo, tuna eza anzisha uzi kuelezea list ya makampuni yaliyo angushwa kwa hira na wakenya. Mfano tiles zenu zilizuiliwa kwa sababu ya ubora baada ya kupimwa, pipi zenu sababu ya sugar ata UG aliliona hilo, ila nyie mna block bidhaa kwa sababu za kujibu mapigo.

Ata huku wakenya wapo wengi sana wanafanya kazi za maana bila shida yoyote, tuna piga nao mitikasi kama kawa. Mpaka dada zetu tumewapa na wewe ukitaka njoo nazani hautopata tabu kupata dada zetu kwa sababu pakuanzia unapo [emoji2]. Mimi sina chuki kabisa na nyie, my closest friend ni Mkenya yupo Nai. Ila najua how you guys operate na jinsi serikali hii inavyo deal na nyie ni sahihi kabisa.
 
Safi kabisa ila kuna sehemu hapo sijaelewa. [emoji1] Sidhani ilikuwa ni hila za wakenya kwasababu humo ndani lazima kulikuwa na watz ambao walifanikisha 'hila' zenyewe. Mbona kusiwe na kamati ya pamoja ya kusuluhisha hii migogoro?
 
Hahahaa.. kuwa radar msee, utaelewa tu. Hii maneno itaisha ila itachukua muda kidogo kupata common ground. Tz na Ke lazima zishirikiane ata kama mamlaka zitazuia magendo yata tumika sana kwa sababu ya ukaribu wa raia mipakani, ku share border kubwa na mwingiliano wa raia. Ila najua yote yataisha. Raila alikua anasema kwenye kampeni "mkitaka kufanya biashara na Tz nichagueni mimi" i think alikua ana plan yake ya jinsi ya ku deal na Magu ambayo Uhuru bado hajaijua. We all need to win siyo ku kanyagana, lets hope the air clears sooner than later.
 
You cannot compete with Tz on agricltural Goods or manufactured goods, Their cost of production is so little that their prices are always consumer friendly.
Its like US/EU trying to compete with china on manufacturing, There will be only 1 loser
China full stop
 
Itakuwa vigumu sana kuzuia bidhaa za kimagendo ikiwa serikali kwenye pande zote mbili zitashindwa kuwajibika. Kwanza sisi wakazi wa Kajiado, Narok na Longido huwa tunatambua sana damu kwanza kabla ya mipaka. 🙂 Hapo kwa Raila labda aliyasema hayo kama kitendawili. Hahaa!
 
On our knees or THEIR knees !!??
 
Naona wakenya hawatujui vizur tuta-ban takataka yoyote kutoka kwao kuingia Tz,Sisi ndiyo ma-master wa migogoro ya kibiashara, tit for tat.
 
You cannot compete with Tz on agricltural Goods or manufactured goods, Their cost of production is so little that their prices are always consumer friendly.
Its like US/EU trying to compete with china on manufacturing, There will be only 1 loser
you have said it all bro...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…