Kenya risks UK blacklist over open Tanzania border

Kenya risks UK blacklist over open Tanzania border

Tanzania ndio inaspread corona hapa Africa. Border kati ya Kenya na TZ ifungwe.
Tony kama zinakujaga na upepo. Baada ya kuwauliza wuhan na marekani corona imekujaje duniani unakazana na Tanzania. Fungeni mpaka muone
 
1. Cessation of all movement into and out of Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu and Nakuru effective midnight tonight (Sat 27.03.21)
 
UK is a much more important trading partner to Kenya. They buy more of our goods than TZ does. UK buys our flowers, tea and vegetables. Ni ngumu kuchagua maana TZ pia ni muhimu kwa Kenya. Wacha tuone Kenya itachagua nchi gani na kupuuza gani.
Hayo hayo maua yenu mnayouza UK mnayachukulia Tanzania. Mkifunga mpaka you won't meet your supply to UK! Kazi kwenu, chagueni mmpendaye!
 
Tatizo la Tanzania ni makelele watakayopiga na kulialia, wanapenda sana hizi pumba za undugu, hivyo ukifunga utaskia kilio hadi hata kwa watu wasioijua Kenya ambao miaka yote wamekwama Buza hata hawajui nje ya Dar. Ukiwauliza Nairobi iko wapi watakujbu iko pale karibu na Dodoma.....
Mlivyotuweka katika orodha ya nchi hatari tulipa kelele au tulichikua hatua za kuzuia ndege zenu?, mlivyokata gari za Tanzania na Somalia kuingia Kenya, hukumbuki mkuu wa mkoa wa Tanga alichowafanyia?,

Jaribuni kufunga huo mpaka wenu muoni kitakachowakuta, hatijaribiwi sisi, mlipoingiza mifugo yenu tuliikamata na kuiuza, kina mama wa kimasai juzi tuliwakamata na kuwatoza faini.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mapigo yapi? Kenya ni powerhouse. GDP ya TZ ni 1/4 ya Kenya's. Kenya tries to be nice to her neighbors. Hakuna cha muhimu nchi yenye uchumi mdogo inaweza trade with a powerhouse at an equal level. These countries are not equal.
toka lini Kenya imekuwa nice to Tanzania?Fungeni mpaka muone
 
Back
Top Bottom