Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Ndiyo lazima wapige collabo na uganda na rwanda. Hawajui biashara najua hata hiyo collabo ni murundi ama muganda ndiye ataongoza.
Hii ni sababu moja Kenya ilikataa kuingia hiyo upuzi yao ya soko moja ya eac ya kuuza hisa.
Hii ni sababu moja Kenya ilikataa kuingia hiyo upuzi yao ya soko moja ya eac ya kuuza hisa.