Kenya`s Stock Exchange Market is 22 times bigger than that of Tanzania.

Ndiyo lazima wapige collabo na uganda na rwanda. Hawajui biashara najua hata hiyo collabo ni murundi ama muganda ndiye ataongoza.

Hii ni sababu moja Kenya ilikataa kuingia hiyo upuzi yao ya soko moja ya eac ya kuuza hisa.
 
Halafu walikuwa wanataka stock market ipi iungane na ipi?😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…