Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana JK na wewe fanya kweli kesho washike adabu yao.
Safi sana JK na wewe fanya kweli kesho washike adabu yao.
Kumbuka si kila mtu anaweza kuwa Daktari..
Na kuna waliowahi kuendekeza tabia za kuigaiga,mwishowe walipasuka msamba!
Dawa pekee ni kufukuza kazi madaktari wote walio kwenye mgomo na isiishie hapo tu bali tuwafungulie mashitaka na kuwapeleka gerezani mara moja. Ingekuwa Nyerere wasingeleta upuuzi huu wa kugoma.
Nyerere= kikwete? JK ni vuguvugu hafai kabisa!Dawa pekee ni kufukuza kazi madaktari wote walio kwenye mgomo na isiishie hapo tu bali tuwafungulie mashitaka na kuwapeleka gerezani mara moja. Ingekuwa Nyerere wasingeleta upuuzi huu wa kugoma.
ninyi usalama wa taifa ndiyo tatizo no. 2 baada ya baba riz.Nacheki tv(ya kenya)madaktari 25,000 wamefukuzwa waliokua kwenye mgomo,kenya rais kikwete anahutubia taifa kupitia wazee wa dar saa kumi ss sijui kama na yy ataiga huo mkumbo au lah.
Nyie endeleeni kumvimbisha kichwa...kwanza wale si madaktari.Ni kweli wamefukuzwa na hilo limetangazwa leo na msemajiwa serikali ya Kenya bw. William Mtua. Pia wametangaza kuwa kuanzia kesho wenye taaluma hizo waombe hizo nafasi zilizo wazi. Tusubiri ya Tanzania maana hapa naona mkuu ataiga kutoka kwa Kibaki. THE TIME WILL TELL