Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Nisaidie kujua hiki kituDah! Tungekua na hata robo ya vivutio vya Tanzania mbona Afrika tungekua sisi ndio tunakopesha hela za miundo mbinu.
Hapo kwenu kwanza ni nchi mbili zilizounganishwa kisanii, yaani Zanzibar pekee yake ni kivutio tosha chenye usawa na akina Mauritius wanaowashinda kwa kila kitu, uzembe tu hamna chochote.
Tatizo ni uzembe na kutoijua au kuithamini nchi yenu. kazi kushobokea wanamuziki na siasa tu mkiwa kitaa, muulize Mtanzania yeyote akutajie vivutio vyao vya utalii walau vitano, ni wachache sana wataweza, wengi mnavaa milegezo mkiimba Bongo flavo basi na kula chips mayai Dar.
Hivi Tanzania tuna vivutio gani ambavyo kenya havipo????.....
Je, kenya haifaidiki kutokana na utalii wa Tz kwa kanda ya kaskazini?????......