Kenya sasa namba tatu kwenye ushindani wa utalii

Nisaidie kujua hiki kitu

Hivi Tanzania tuna vivutio gani ambavyo kenya havipo????.....

Je, kenya haifaidiki kutokana na utalii wa Tz kwa kanda ya kaskazini?????......
 
Nisaidie kujua hiki kitu

Hivi Tanzania tuna vivutio gani ambavyo kenya havipo????.....

Je, kenya haifaidiki kutokana na utalii wa Tz kwa kanda ya kaskazini?????......

Dadadeki!!!
Don't get me started, umenibeep na mimi nakubeep na vitatu tu, lakini ukizingua nitatiririka hadi usinzie
- Longest fresh water lake in the world
- The largest mountain in Africa
- Remains of the earliest humans

Ndio, watalii hupitia Nairobi wakija huko ila tunawapiga hela kwanza, japo kuna wengi huwa tumewaita sisi ili waje huko maana nyie hamnazo likija suala la kujitafutia soko.
 
Tanzania inaongoza Afrika yote kwa vivutio vya utalii, yaani Afrika yote hadi mnawashinda Afrika Kusini kwa vivutio ambao huwa wanawashinda mara karibia kumi kwa idadi ya watalii na kusanyo la hela.

Afrika Kusini ina Wazungu wengi ndio maana, watalii wengi huwa wanaenda nchi za Kiafrika ambazo sio 'Waafrika'. Ndio maana nchi kama Misri, Moroko na Tunisia zinapata watalii wengi mno.
Nchi zinazoongoza kwa utalii duniani wala hazina wanyama wala milima mirefu ila ni za watu weupe.
 
Ok nipe vitu ambavyo ni unique ambavyo havipo Kenya kabisa.. a lake is just a lake either its long or short nd as a matter of the fact lake Tanganyika is shared with other countries so,its not entirely ours as a tourist can explore it from different places

Nipe kitu cha pekee maana hiyo olduvai gorge mmeshaitangaza kama yenu.... nipe kitu unique maana ukianza selous,gombe,mahale,lake manyara etc are just the same kind of things with different location
 
Yap ,kama Paris inavyoongoza duniani wakati hakuna hata vivutio vya asili.
 

Adjectives ya vivutio ndio huwa muhimu, kama ni lakes, tayari zipo kwenye nchi nyingi Afrika lakini unakuta ya kwenu ndio refu zaidi ya zote Afrika. Kwamba kuna Wakenya wametaja baadhi ya hivyo vitu kuwepo Kenya, inawezekana ni baada ya kuona mlivyo wazembe mnakalia raslimali bila kuzitumia huku mkitajwa kwenye nchi maskini wa kufa mtu Afrika.
 

Mivivu utaijua kwa vijisababu, sasa nyie hata Zimbabwe kwa Bob huwa anawashinda hata Namibia kwa Wafrika weusi. Hizo nchi mnazishinda kwa mbali sana kwenye vivutio vya utalii.
 
Mivivu utaijua kwa vijisababu, sasa nyie hata Zimbabwe kwa Bob huwa anawashinda hata Namibia kwa Wafrika weusi. Hizo nchi mnazishinda kwa mbali sana kwenye vivutio vya utalii.

Zimbabwe na Namibia wametuzidi nini? Tafuta nchi nyingine ya weusi yenye tourism receipt ya zaidi ya US$ 2.4 bn zaidi ya Afrika Kusini?

Kwa taarifa yako tu, Tanzania ni ya tatu Afrika kwa kupata tourism receipt kubwa. Tanzania US$ 2.4 bn, Kenya US$ 800m, Mauritius US$ 1.57 bn na Afrika Kusini US$ 9 bn.

African countries with the largest international tourism receipts in 2015 (in billion U.S. dollars)*



African countries by international tourism receipts 2015 | Statistic
 
Mivivu utaijua kwa vijisababu, sasa nyie hata Zimbabwe kwa Bob huwa anawashinda hata Namibia kwa Wafrika weusi. Hizo nchi mnazishinda kwa mbali sana kwenye vivutio vya utalii.

Tuangalie hapa nani wavivu kati ya Kenya na Tanzania. Manyang'au mlivyo wazembe mnazidiwa hadi na Uganda ambayo haina hata bahari.

Tourism revenue in Kenya drops further as numbers reduce
May. 04, 2016, 5:00 am
By MARTIN MWITA @mwitamartin

Tourism earnings dropped to KSh84.6 million(US$ 846m) last year as the sector recorded the lowest number of visitors in five years, the Economic Survey 2016 report shows.
Tourism revenue drops further as numbers reduce

Tanzania’s 2016 current account deficit narrows 49%
Feb 22, 2017

Tanzania is famed for its pristine beaches and safari parks, and tourism is the country's biggest source of foreign exchange. Earnings from the sector rose to $2.23 billion last year from$2.01 billion as visitor numbers increased, the BoT said.
Tanzania’s 2016 current account deficit narrows 49% - CHANNELAFRICA

Mauritius sees tourism earnings rising 8 pct in 2016
Fri Feb 26, 2016 9:26am GMT

The statistics agency said it expected tourism revenue to climb to 54 billion rupees ($1.51 billion) in 2016, more than an earlier forecast of 52 billion rupees. Last year tourism earnings were calculated at 50 billion rupees.
Mauritius sees tourism earnings rising 8 pct in 2016 | Reuters

East Africa: Ugandan arrivals up nearly 10%

13 May 2016 15:17 (UTC+3)

As a result, the Uganda earned revenue amounting to $1.4 billion in tourist expenditure last year, up from $1.2 billion in 2014.
Tourism Update







 
wewe ni mwendawazimu unaleta news za 2016 hapa tufanyie nini? bloody fool
 
when dwarfs start askin each other who is taller than the other
exactly...yaani this is exactly what is going on...you will never see developed nations doing this foolishness....wao kama ni forums huwa wana discuss vitu vya msingi...sio kushindana nani ndiye nani siye....and mind you we are both in the third world with numerous problems and poverty...
 

Tanzania earns more than Kenya in Tourism. I dont see reasons for celebrations from our Kenyan counterparts because, the bottom line is how much a country earns from Tourism sector.

Its stupidity of the highest order.
 
Tanizania inaongoza Afrika yote kwa vivutio vya utalii, yaani Afrika yote hadi mnawashinda Afrika Kusini kwa vivutio ambao huwa wanawashinda mara karibia kumi kwa idadi ya watalii na kusanyo la hela.

As a matter of fact, Tanzania seconds only Brazil in Tourist attractions. In the whole World, Its Brazil first then comes in the great United Republic of Tanzania.

Remember, over the years Kenya earned so much more than Tanzania but with less effort Tanzania now earns so much more and, has a far much bigger and better tourism industry than Kenya.

You can surely be cheeful for some stupid news that derives from sources whose credibility is questionable but that, would in no way change the fact that your tiny tourism industry earns less.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…