Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
Dude, the "Rising Giant" has been rising for as long as this forum has been in existence! LOLBut still TZ's on top ten of best countries with high GDP in Africa
though you're on number 6 and we're on number 10, so we still here to come
Dar tunaijua na Ile mijengo yake 3 kwa kila picha hazikosi...Dar Ni nyumba tatu. Ghana ni kanchi kadogo Kama mojawapo ya mikoa yenu lakini kamewazidi maarifa na utajiri.Jidanganye Ghana tunaijua miji yake hata Kampala kumejengeka
I think there was a time Tanzania used to be the largest economy in East AfricaDude, the "Rising Giant" has been rising for as long as this forum has been in existence! LOL
Dar tunaijua na Ile mijengo yake 3 kwa kila picha hazikosi...Dar Ni nyumba tatu. Ghana ni kanchi kadogo Kama mojawapo ya mikoa yenu lakini kamewazidi maarifa na utajiri.
Nanyinyi mumeizidi tz utajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Dar tunaijua na Ile mijengo yake 3 kwa kila picha hazikosi...Dar Ni nyumba tatu. Ghana ni kanchi kadogo Kama mojawapo ya mikoa yenu lakini kamewazidi maarifa na utajiri.
Nigeria (18.13%)
Kwani is that news? Kwani wewe hapo Mwananyamala hujui kwamba Kenya inaizidi Tanzania kwa utajiri? 😂 😂Nanyinyi mumeizidi tz utajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kweli ukitumia vibaya kichwa,matako yananyanyuka.
Aisee!!!!Kwani is that news? Kwani wewe hapo Mwananyamala hujui kwamba Kenya inaizidi Tanzania kwa utajiri? [emoji23] [emoji23]
Sio siri. Mara ngapi Madeni yenu imefutwa?Nanyinyi mumeizidi tz utajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kweli ukitumia vibaya kichwa,matako yananyanyuka.
Ghana ipo juu ya Tanzania sababu ya alphabetical order na sio vinginevyo, according to IMF tupo juu ya GhanaDar tunaijua na Ile mijengo yake 3 kwa kila picha hazikosi...Dar Ni nyumba tatu. Ghana ni kanchi kadogo Kama mojawapo ya mikoa yenu lakini kamewazidi maarifa na utajiri.
Wewe unaweka ya May 2018. Mimi nimeweka ya 2019. Ghana wamewapita mwaka huu kwa sababu walifanya kitu inaitwa re-basing of their GDP.Ghana ipo juu ya Tanzania sababu ya alphabetical order na sio vinginevyo, according to IMF tupo juu ya Ghana View attachment 1243896
Ndio maana hatutaki kutoka ldc,kama ulidhani kuongia DC ni ujanja endelea kunyooshwa mpaka utie akili.Sio siri. Mara ngapi Madeni yenu imefutwa?
Morocco wanamaisha mazuri kuliko Nigeria kuliko Kenya, wanamiundombinu mizuri kuliko Kenya, mtawapita kwa lipi brother?By 2023 tutakua tumepita Morocco na kuiacha mbali sasa tuanze kufukuzana na Algeria.
Morocco wanamaisha mazuri kuliko Nigeria kuliko Kenya, wanamiundombinu mizuri kuliko Kenya, mtawapita kwa lipi brother?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataipita kwa GDP 🤣🤣🤣🤣Morocco wanamaisha mazuri kuliko Nigeria kuliko Kenya, wanamiundombinu mizuri kuliko Kenya, mtawapita kwa lipi brother?
Sent using Jamii Forums mobile app
Japan is developed country,China is an emerging economy/developing...Hata Japan wanamaisha mazuri tu kushinda wachina wengi tu ilihali ilipitwa na China.
Sent using Jamii Forums mobile app